Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Chipsi na mayaiWanaume wa Dar mnapenda sana mambo ya nguvu za kiume, waziri kaona apige umo umo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chipsi na mayaiWanaume wa Dar mnapenda sana mambo ya nguvu za kiume, waziri kaona apige umo umo.
Hahahahaha hofu yangu nisije nikaanza kumwelewa zaidi na zaidiLazima umuelewe,ni mambo yako hayo...,[emoji12]
Anaupiga mwingi 😝Maza anaropokwa sana yani
Sio masihara kinachofata mabaharia wataruka nae huyu😂Anaupiga mwingi 😝
Ukipiga vitu vyako vile lazima umuelewe 😂Hahahahaha hofu yangu nisije nikaanza kumwelewa zaidi na zaidi
Woiii,.hata mimi ningeruka nae naachaje kutesti mitambo sasa kwa mfano 🐒🐒Sio masihara kinachofata mabaharia wataruka nae huyu😂
Eeh kama mbwai na iwe mbwai tu 😂Woiii,.hata mimi ningeruka nae naachaje kutesti mitambo sasa kwa mfano 🐒🐒
Ngoja nikuache kijanaKuwa na adabu mamako huyo utapata laana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Namwelewa sana huyu mama[emoji1787][emoji1787]
Ungejivunia sana ila ndiyo siyo your mother that why umeandika hivyo 😃!.Huyu maza huyu dah 😂😂😂 angekuwa maza angu sijui sura ningeificha wapi akyanani
Kama Dk. Shika (rip) hahahahNAOMBA kuuliza Kama huyu mama kasoma URUSI
anakila dalili za kuonesha kasoma huko Nina anko wangu kasoma huko yaan wanafanana kitabia na huyu mama kabisa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app