#COVID19 Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

Mkifundishwa kwa mifano mtaelewa zaidi maana tarakimu haziwaingii akilini! sioni kosa kisayansi waziri kutupa taarifa za kweli! kwani unapobeba mimba nani asiyejua kuwa uligegedwa kwanza tena bila kinga ndio mimba ikatungwa!?
 
Mkuu Unakumbuka Magu na Kitwanga walivyokuwa marafiki?ilikuaje mwishoni
Magu alimtumbua kwa mihemko tu na ugeni wa nafasi mbona kina bashite sabaya walifanya madudu na hakuwatumbua kabisa
 
Mkifundishwa kwa mifano mtaelewa zaidi maana tarakimu haziwaingii akilini! sioni kosa kisayansi waziri kutupa taarifa za kweli! kwani unapobeba mimba nani asiyejua kuwa uligegedwa kwanza tena bila kinga ndio mimba ikatungwa!?
Watu Wana mlaumu tu bure huyo waziri kwanza madaktari husema vitu direct bila kuficha, sasa why blame Waziri kwa kuonyesha demonstration alichopitia
 
Watu Wana mlaumu tu bure huyo waziri kwanza madaktari husema vitu direct bila kuficha, sasa why blame Waziri kwa kuonyesha demonstration alichopitia
Huyo sio mwanasiasa ni dakitari kwa fani tena mzoefu! Muangalieni tu vitu anavyofanya hadharani, vyote lazima aulize swali, atoe mfano na akupe jibu! Wanasiasa hawapendi ukweli ndio maana wanamlaumu walitaka aje na mambo ya mchakato mara upembuzi yakinifu na ujinga ujinga uongo kibao! Good job mama!
 
Daah huyu mwanamke naye Mungu anamuona kwa maneno yake.
 
Watanzania wengi mtu akielezea ukweli wa jambo hushambuliwa sana tu, but sijaona kosa hapo la Waziri
 
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti'

View attachment 1896987
Hapo wazee wakatiba mpya wanatolewa kwenye line taratibu,Hii nchi ni mwendo wa kiki tu mpaka kitaeleweka.
 
Reactions: BRB
Elewa kwamba Dr. Gwajima hakuzungumzia kutestiwa mitambo akiwa Bar analewa, bali alikuwa ana hamasisha umma ili wawe na imani na chanjo ya corona. Haswa ikizingatiwa kwamba chanjo ya corona imekuwa ikihusishwa na upotoshaji mwingi sana.

She was just clearing the air about myths surrounding the corona virus' jab.
 
Ni lazima kusema haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…