Mkifundishwa kwa mifano mtaelewa zaidi maana tarakimu haziwaingii akilini! sioni kosa kisayansi waziri kutupa taarifa za kweli! kwani unapobeba mimba nani asiyejua kuwa uligegedwa kwanza tena bila kinga ndio mimba ikatungwa!?Ni kweli liko palepale ila sio agenda ya kitaifa, ni suala binafsi halituhusu, kila mtu akitangazia uma kwamba ametestiwa mitambo unapata picha gani, ummy nae atangaze, mama samia nae atangaze, aje dr molell nae atangaze alivyotest mitambo, dr mpango nae... unadhani tutakua taifa la namna gani?