The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Ukiwa unaangalia mambo kwa weledi hilo ndo utagundua. Makamba kashaharibu kila kitu afu mtoto wa watu DOTO ndo anapelekwa kusulubiwa na kuvikwa walama.
Wakubwa walishachungulia mgao wa umeme mkali unakuja. Ili kumsafisha kipara wakampeleka mambo ya nje kwenye lawama chache na kumwacha Biteko na wizara ya nishati iliyooza.
Pengine ni kupunguza makelele ya watanzania kwa kipara maana anageendelea kuharibikiwa zaidi. CCM wana siasa mbaya sana.
Kwa mgao wa umeme Doto Biteko hatutakuonea Huruma umeyataka mwenyewe tutakutwanga nyundo nakukuchafua shatI lako iwezekanavyo.
Ingekuwa ni mimi ningesema asante mama kwa uteuzi ila sitaweza kusimamia hii wizara ya nishati na mambo mengi binafsii.