Waziri Doto Biteko kapelekwa Nishati kuangushiwa jumba bovu

Waziri Doto Biteko kapelekwa Nishati kuangushiwa jumba bovu

Aliyechangia kuligaribu junta ni Januari Makamba ilipaswa abakizwe hapo mpaka limuangukie mwenyewe!
Umeme haujawahi kuwa stable tangu nchi hii ipate uhuru licha ya maendeleo ya kiuchumi na technology bado vyanzo vyetu vikuu vya umeme vimebakia kuwa bi hydropower lakini januari hajakaa zaidi ya miaka miwili katika hiyo wizara ila maneno anayosukumiziwa ni kama yeye ndio source of all the problems. Its no fair at all
 
Kumekucha tayari Tanesco wameshatangaza uwezekano wa mgao wa umeme kama mvua zitachelewa
 
Kumekucha tayari Tanesco wameshatangaza uwezekano wa mgao wa umeme kama mvua zitachelewa

Sijui wanajisikiaje ,

Zaidi ya miaka 60 ya Uhuru? [emoji848][emoji848]

Imeshindikana kabisa kuweza kupatatikana Kwa huduma ya Umeme na maji through out the year? [emoji24][emoji24]

Tuseme Hapana haikubaliki tumechoka [emoji57][emoji19]
 
Amealibu na amekimbia bado lawama ziko kwake maana kamkuta kalemagi anaenda vizuri yeye kaja kalibu kasepa na maagizo Kama obama
 
Sio kweli, mgao ulianza rasmi june 2020, toka wakati ule tatizo la mgao limekuwa likiongezeka kila muda unavyoenda. Nakumbuka wakati wa kampeni ya uchaguzi wa 2020 kulikuwa na mgao wa kila mara.
Acheni kutetea ujinga sasa kama ni tangu 2020 tulitegemea akiingia yeye na mikakati yake feki tatizo lingeisha mbona limeongezeka mara 1000 na mpaka sasa Taifa liko gizani kafanya kazi gani?
 
Acheni kutetea ujinga sasa kama ni tangu 2020 tulitegemea akiingia yeye na mikakati yake feki tatizo lingeisha mbona limeongezeka mara 1000 na mpaka sasa Taifa liko gizani kafanya kazi gani?
Simtetei yoyote toka hao majizi wa kura wa CCM, naweka record sawa wa lini hasa hili tatizo lilianza.
 
Back
Top Bottom