Waziri Doto Biteko kapelekwa Nishati kuangushiwa jumba bovu

Waziri Doto Biteko kapelekwa Nishati kuangushiwa jumba bovu

Biteko ili watz uwape kicheko pambana na punguza bei ya umeme kuunganisha yaani zawadi utayopewa na watz haitakaa ifutike
 
Biteko kuwa makini hiyo wizara, mtangulizi wako alishaingia mikataba mibovu ya upigaji kama kawa yake!
Ivunje yote na watu wake ngo'a wote!
 
Biteko kuwa makini hiyo wizara, mtangulizi wako alishaingia mikataba mibovu ya upigaji kama kawa yake!
Ivunje yote na watu wake ngo'a wote!
Hahahaha....ndugu yangu umenikumbusha, hivi na wale jamaa wawekezaji Tanesco kutoka India, tija yake vipi??...
 
Jana namskia akiikoromea tanesko wasijaribu kugusa kidude Leo Toka asbuhi wamekata,basi nchi ya kibabe sana hii.
 
Back
Top Bottom