Waziri Doto Biteko kapelekwa Nishati kuangushiwa jumba bovu

Waziri Doto Biteko kapelekwa Nishati kuangushiwa jumba bovu

Mbona makamba alianza kulaumiwa wiki hiyo hiyo alivyoingia ofisini? Mbona yeye hakupewa mwaka mmoja mabadiliko yaonekane
Ukiona watu waliona mbali na ni kweli kwa matarajio ya wengi makamba alifeli,cha ajabu mtu aliefeli kahamishwa badala ya kupumzishwa
 
Hapo hata angeendelea Kalemani kuwa Waziri hadi leo hali ingekuwa hiyo iliyopo.

Ukweli ni kuwa wakati ule utendajikazi wa Magufuli ndio uliweza kufanya umeme upatikane.

Top leader ability matters a lot.
 
Ukweli ni kwamba;

Kalemani bila support ya Kiongozi Mkuu wa wakati ule yaani Magufuli hali ingekuwa hii iliyopo ya nchi kuwa gizani na maji kukosekana.
 
Kwanza angefutwa kazi alieharibu wizara kisha akateuliwa mwingine



Ameharibu kivipi?

Hata angeendelea Kalemani wenu hali ingeendelea kuwa mbaya kama sasa kwa kuzingatia kuwa Magu hayupo.

Magu alikuwa ni results oriented.

Kwa ile spirit ya kutaka kuonesha watu kuwa hashindwi kitu ilikuwa na faida kwetu wananchi.

Once Uwepo wa Magu ulivyoondoka tu hata huyo Kalemani wenu asingeweza kufanya umeme uendelee kuwepo kama enzi zile ,

Hali ingeendelea kuwa hivi ilivyo.

Kwa hiyo muelewe na sio kalemani kalemani.

Yeye mwenyewe ukweli anaujua.
 
Muhimu ni kuitaka serikali ilete ufumbuzi wa haraka Kwenye tatizo sugu hili kila Mwaka tangu Uhuru,

Badala ya kunyoosheana vidole na kutiana masingi machoni.

Serikali, Viongozi wakuu wajue watanzania wanataka ufumbuzi wa matatizo haya kwa zaidi ya miaka 60 ya Uhuru.

CEO wa tanesco kusema tuombe Eti mvua zinyeshe za Vuli tuepukane na mgao wa Umeme na maji haiingii akilini.

Wananchi wanataka ufumbuzi wa haraka huduma zipatikane na sio hadithi hadithi.
 
Yaani Maharagwe anasema wananchi waombe mvua za Vuli zinyeshe?! [emoji848][emoji848]
 
Mimi binafsi nilishangaa January alivyokuwa anapigwa nyundo utadhani Yeye ndo amekalia wizara ya nishati toka nchi ipate uhuru.

Ukweli na historia inaonyesha wizara ya nishati ni kati ya wizara ngumu.

Ukiangaliq hata mawaziri walio ingia wasafi waliondoka wakiwa wamechafuka.

January alibebeshwa gunia la lawama mapema sana.
 
Dkt. Medard Kalemani, huyu ndio mwamba!!
 
Ukiwa unaangalia mambo kwa weledi hilo ndo utagundua. Makamba kashaharibu kila kitu afu mtoto wa watu DOTO ndo anapelekwa kusulubiwa na kuvikwa walama.

Wakubwa walishachungulia mgao wa umeme mkali unakuja. Ili kumsafisha kipara wakampeleka mambo ya nje kwenye lawama chache na kumwacha Biteko na wizara ya nishati iliyooza.

Pengine ni kupunguza makelele ya watanzania kwa kipara maana anageendelea kuharibikiwa zaidi. CCM wana siasa mbaya sana.

Kwa mgao wa umeme Doto Biteko hatutakuonea Huruma umeyataka mwenyewe tutakutwanga nyundo nakukuchafua shatI lako iwezekanavyo.

Ingekuwa ni mimi ningesema asante mama kwa uteuzi ila sitaweza kusimamia hii wizara ya nishati na mambo mengi binafsii.
Ni kweli , kuna watu waliisha haribu, lakini Hali hii ya kukatika katika Kwa umeme inaonekana ilitokana na Waziri kuwepo huyu WA Sasa Biteko.
 
Back
Top Bottom