Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Endelea kuvumilia tu tunaimba taraabu hadi 2030 tukimaliza mtamchagua wakwenu muimba reggae.Mama abduli rafiki wa adija kopa kwa vichambo ila mmoja ndio raisi mwengine muimba taarabu sema kakosa mshindani nakumbuka nasma [emoji19]
Dogo mimi sina dira ila nina uwezo wa kukulisha wewe na familia yako miaka mitatu consecutive.Wapumbavu ni nyie msiokuwa na dira ya maendeleo
Nyuma ya keyboard.sawa.. Mimi nalisha ukoo wako wote milele pamoja na mazishi nagaharamiaDogo mimi sina dira ila nina uwezo wa kukulisha wewe na familia yako miaka mitatu consecutive.
Umeme haujawahi kuwa stable tangu nchi hii ipate uhuru licha ya maendeleo ya kiuchumi na technology bado vyanzo vyetu vikuu vya umeme vimebakia kuwa bi hydropower lakini januari hajakaa zaidi ya miaka miwili katika hiyo wizara ila maneno anayosukumiziwa ni kama yeye ndio source of all the problems. Its no fair at allAliyechangia kuligaribu junta ni Januari Makamba ilipaswa abakizwe hapo mpaka limuangukie mwenyewe!
Fala tu wewe huna uwezo huo.Nyuma ya keyboard.sawa.. Mimi nalisha ukoo wako wote milele pamoja na mazishi nagaharamia
Tatizo lako wewe umekulia tandale ndo maana unatukana tukana hovyoFala tu wewe huna uwezo huo.
Mkwe ndio angeangushiwa hilo pagalaKwahiyo mlikua mnataka nani aangushiwe jumba bovu? Watu mna roho mbaya sana
Kumekucha tayari Tanesco wameshatangaza uwezekano wa mgao wa umeme kama mvua zitachelewa
Waulizwe waliokataa teuzi za Mamlaka!Ingekuwa ni mimi ningesema asante mama kwa uteuzi ila sitaweza kusimamia hii wizara ya nishati na mambo mengi binafsii.
Naskia vyote viwili🤔,Kwani biteko ni waziri wa nishati au naibu waziri mkuu?
Mungu ni Mkubwa, Mvua zimeanza ! Walete hoja nyingine.Kumekucha tayari Tanesco wameshatangaza uwezekano wa mgao wa umeme kama mvua zitachelewa
Hiyo ni roho mbayaMkwe ndio angeangushiwa hilo pagala
Tandale ndo katokea diamond platinumTatizo lako wewe umekulia tandale ndo maana unatukana tukana hovyo
Acheni kutetea ujinga sasa kama ni tangu 2020 tulitegemea akiingia yeye na mikakati yake feki tatizo lingeisha mbona limeongezeka mara 1000 na mpaka sasa Taifa liko gizani kafanya kazi gani?Sio kweli, mgao ulianza rasmi june 2020, toka wakati ule tatizo la mgao limekuwa likiongezeka kila muda unavyoenda. Nakumbuka wakati wa kampeni ya uchaguzi wa 2020 kulikuwa na mgao wa kila mara.
Simtetei yoyote toka hao majizi wa kura wa CCM, naweka record sawa wa lini hasa hili tatizo lilianza.Acheni kutetea ujinga sasa kama ni tangu 2020 tulitegemea akiingia yeye na mikakati yake feki tatizo lingeisha mbona limeongezeka mara 1000 na mpaka sasa Taifa liko gizani kafanya kazi gani?
Lawama zibaki kwa kipara tukimlaumu Mh Naibu Waziri tunamuonea
kipara makamba ndio kaacha nchi gizani