Mkonowatembo JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 1,107 Reaction score 1,012 Sep 15, 2023 #81 Biteko ili watz uwape kicheko pambana na punguza bei ya umeme kuunganisha yaani zawadi utayopewa na watz haitakaa ifutike
Biteko ili watz uwape kicheko pambana na punguza bei ya umeme kuunganisha yaani zawadi utayopewa na watz haitakaa ifutike
S Selemani JF-Expert Member Joined Aug 26, 2006 Posts 947 Reaction score 294 Sep 15, 2023 #82 TikTok2020 said: Hakuna cha inchaji wala nini believe me....kwanza watanzania hawakupendi kabisa wanajua unabebwa Click to expand... Haaa haaa. 🤣🤣🤣
TikTok2020 said: Hakuna cha inchaji wala nini believe me....kwanza watanzania hawakupendi kabisa wanajua unabebwa Click to expand... Haaa haaa. 🤣🤣🤣
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Sep 15, 2023 #83 Biteko kuwa makini hiyo wizara, mtangulizi wako alishaingia mikataba mibovu ya upigaji kama kawa yake! Ivunje yote na watu wake ngo'a wote!
Biteko kuwa makini hiyo wizara, mtangulizi wako alishaingia mikataba mibovu ya upigaji kama kawa yake! Ivunje yote na watu wake ngo'a wote!
B Bunsen Burner JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 909 Reaction score 1,101 Sep 15, 2023 #84 pilipili kichaa said: Biteko kuwa makini hiyo wizara, mtangulizi wako alishaingia mikataba mibovu ya upigaji kama kawa yake! Ivunje yote na watu wake ngo'a wote! Click to expand... Hahahaha....ndugu yangu umenikumbusha, hivi na wale jamaa wawekezaji Tanesco kutoka India, tija yake vipi??...
pilipili kichaa said: Biteko kuwa makini hiyo wizara, mtangulizi wako alishaingia mikataba mibovu ya upigaji kama kawa yake! Ivunje yote na watu wake ngo'a wote! Click to expand... Hahahaha....ndugu yangu umenikumbusha, hivi na wale jamaa wawekezaji Tanesco kutoka India, tija yake vipi??...
N Nidaataibani Member Joined Feb 2, 2023 Posts 82 Reaction score 76 Sep 15, 2023 #85 Division One said: Kwani biteko ni waziri wa nishati au naibu waziri mkuu? Click to expand... Vyeo vyote vyake
Division One said: Kwani biteko ni waziri wa nishati au naibu waziri mkuu? Click to expand... Vyeo vyote vyake
T TikTok2020 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 1,816 Reaction score 3,150 Sep 15, 2023 #86 Selemani said: Haaa haaa. 🤣🤣🤣 Click to expand... 😁
V Vito Corleone JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,418 Reaction score 5,257 Sep 15, 2023 #87 Jana namskia akiikoromea tanesko wasijaribu kugusa kidude Leo Toka asbuhi wamekata,basi nchi ya kibabe sana hii.
Jana namskia akiikoromea tanesko wasijaribu kugusa kidude Leo Toka asbuhi wamekata,basi nchi ya kibabe sana hii.