Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katika Kitabu cha kuelezea maisha yake Mstaafu Mwinyi anasema alipojiuzulu Uwaziri wa Mambo ya Ndani Waziri aliyechukua nafasi yake alimtaka ahamishe haraka mizigo yake ili yeye ahamie kwenye nyumba ya Serikali aliyokuwa anakaa Mzee Mwinyi.

Mzee Mwinyi alishindwa kuhamisha vifaa vyake vya ujenzi wa nyumba yake ya Mikocheni kwa Mwalimu, yule Waziri akamdhulumu.

Pamoja na ubazazi na udhulmati wa Waziri huyo lakini Mzee Mwinyi alipochaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alimchukua Waziri huyo kwenye Baraza lake la Mawaziri.

Waziri huyo ni nani?

Pia, soma=> Jinsi Natepe alivyomhenyesha Rais Ali Hassan Mwinyi
 
Ni mzanzibari hivi. Jina limenitoka
 
Bwashee kumbuka, Wewe ulikua hiyo hiyo ccm madhulumati na Bado Upo huko, hata kama mwanakwendazake hatunaye!
 

Late Major General Abdalah Natepe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…