The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Unatoa hukumu bila ya kujiridisha ameongea nini. Tafuta usikilize ndiyo uchangieHuyu waziri kalewa madaraka,aliongea haya akiwa wapi?Hivi haoni aibu kwa wizara anayoongoza na idara zake inavyoboronga?Siyo POLISI,Zimàmoto ama Magereza? Ufanisi wao ungekuwa kipaumbele vya waziri lakini mafumanzi!
Too low for Internal Affairs Minister.
jamani tafuteni hiyo picha sio mume wake kwani mwanamke anamkataa kabisa ingawa aliyefumaniwa anamuita Baba Brian, huenda ni kimada ambaye wameachana miaka sasa jamaa hakukubali akatega mtego, ambao sasa POLISI wanasema si halali, clip ipo sema Admini na maadili ya JFKwa hyo ukikuta mke wako ananyanduliwa home inabid urudi ulipotoka hadi wamalize!!!??
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi ndugu Gorgeous simbachawene amewanya wale wanaokusanyika ama kuandaa mafumanizi kuwa Hilo ni Jambo lililo kinyume Cha sheria hivyo ukifanya hivyo utakamatwa .
Amedai watu waachwe maana hizo ni faragha zao,.
Chanzo:
mwananchi online.
Tuongee kikubwa ,kumbe sheria ya faragha inaruhusu hadi kunyandua mbususu za wake za watu??
GREAT POSTMwanamke ama mwanaume uke ama uume ni mali yake binafsi, umemkuta anayo na hatamkiachana bado kila mtu ataondoka na mali yake.
Hivyo kila mtu ana uhuru wa kumpa mtu yoyote anaemtaka, sasa wewe ukiona mke wako ama mume wako anagawa hiyo kitu na hujapenezwa na hilo, muache ili usipate matatizo.
Mnapoamua kua kwenye mahusiano ama ndoa, makubaliano makubwa hua ni kila mtu amtunzie mwenzake uke wake na uume wake, sasa iwapo mtu haishi kweye hayo makubaliano na wewe hujapenda hilo jambo, achana nae usije kupata matatizo.
Tukubaliane kua uke ama uume ni mali ya mwenye nayo exclusively, ana haki ya kuitumia atakavyo, kikubwa ni wewe kujiondoa pale mtu anapoamua kutumia mwili wake atakavyo.
Kwann umsumbue aliyetunukiwa mbususu na mkeo kwa hiari ya moyo wa Safi wa mkeo??Kwa hyo ukikuta mke wako ananyanduliwa home inabid urudi ulipotoka hadi wamalize!!!??
Kama wamekubalia yaani si rape, hakuna uhalali wa kwenda kufumania. Ni watu wazima wamekubaliana na wanafanya mambo yao faragha, haijalishi 'muibiwa' anaumia kiasi gani.Haifai kuombeana mabaya, lakini kwa waziri huyu yakimkuta atatamani abadili hii sheria! Ngoja yamkute!!
Yuko sahihi kuliongelea hilo kwa sasa,kuna video inatembea ya mwanamama kafumaniwa na mumewe,jamaa kamdhalilisha sana.Huyu waziri kalewa madaraka,aliongea haya akiwa wapi?Hivi haoni aibu kwa wizara anayoongoza na idara zake inavyoboronga?Siyo POLISI,Zimàmoto ama Magereza? Ufanisi wao ungekuwa kipaumbele vya waziri lakini mafumanzi!
Too low for Internal Affairs Minister.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hili neno Mbususu nalikubali sana yani linaifunika neno papuchi vibaya sana. Halafu hizi mada zenye mrengo wa tasnia ya ngono ziko poa sana na zinasisimua. Mleta mada big up mwanangu.
Mkuu msamiati mwingine wa "Mbususu". ni "Imbaruke".Hili neno Mbususu nalikubali sana yani linaifunika neno papuchi vibaya sana. Halafu hizi mada zenye mrengo wa tasnia ya ngono ziko poa sana na zinasisimua. Mleta mada big up mwanangu.
Yeah, then unaamua umuache au umsamehe. Kusuka au kunyoa.Kwa hyo ukikuta mke wako ananyanduliwa home inabid urudi ulipotoka hadi wamalize!!!??