Waziri George Simbachawene: Waliowashambulia wapenzi wakiwa faragha kwa madai ya kuwafumania wakamatwe

Ni kosa kuua mwizi na watu wanaua wezi kila siku..

We ukifumaniwa ukalawitiwa utaenda polisi??Polisi wenyewe wakifumaniwa wanaliwa...

Huko polisi utaenda sema nini?Kama hawajakucheka na kukwambia tutafatilia...

Kaa mbali na wake za watu kwa usalama wako
 

Kama una cheti cha ndoa nenda kafumanie. Tuache haya mambo ya kizushi
 

Jinga moja la kigogo
 
Wizi ni kosa la jinai ambalo lina adhabu zake kabisa mahakamani, kufanya mapenzi na mke au mume wa mtu sio kosa kisheria.
 
Hapo kwenye " kupaka mafuta" tunahitaji maelezo ya kina kidogo ..
 
Wachawi wabongo wanaloga, ngoja jini fulani atumwe ndo maajabu yatakapozuka na story kubadilishwa.
 
Inawezekana bwana Lion-chawene yupo vizuri kwenye kunyadua wake za wananzengo wenzake, kwa hiyo anapiga sound kama defensive mechanism.....
 
Ukifumaniwa amani yote na ujasiri vyote vinatoweka.
Nakumbuka Kuna mzee mmoja huku Kimara alitumaniwa gesti na mke wa mtu. Mfumaniaji alikwenda pale na vijana wake watatu waliokua tayari kumvisha mzee shanga na khanga.
Mfumaniaji alimwambia mgoni wake apige simu nyumbani kwake amwambie mkewe (mke wa aliyefumaniwa ) alete milioni mbili au la mzee ashike ukuta.
Mbona mzee alipiga simu na hela kweli ikaletwa.
Mzee Sasa akabakia na kesi na mke wake.
 
Kuanzia leo mke wa mtu sio sumu, hili suala liwekwe kwenye katiba mpya kabisa🤣
ila waziri ana hoja kwanini uhangaike na mtu wakati hakupendi mwisho aje kukuwekea sumu kwenye chakula bure kama mapenzi yameisha kila mtu achukue hamsini zake kusiwe na uhasama life is too short ishu nyingine ni kwamba umekuta namchakata demu wangu kwenye gari eti unani mind ntakuja kupiga mtu bastola siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…