Waziri Godfrey Mwambe kama hauwezi kuthibitisha uongo wa Hayati Magufuli basi unapaswa kujiuzulu mara moja


Thread closed
 
Nchi inaliwa kwa kasi sana hivi sasa
 
Wewe jamaa ni mpumbavu sana sana tu
 
JK katu asingeweza kutoka hadharani na kumpinga Magu...

Na akifanya hivyo hivi sasa, watu watasemaje kama "...mbona hakusema wakati Magu yupo hadharani"!!

Kuna wakati, Ndugai na ujinga wake wote ule, kuna siku alisimama bungeni na kusema wazi wazi anavyoshangazwa ni kwa namna gani serikali inasuasua sana kwenye mradi kama ule! Na aliyaongea hayo wakati JPM akiwa bado hai!!

Kilichofuata, Wazalendo Feki wa JF wanaojifanya wao ndo wana uchungu sana na nchi wakati ni wanafiki tu, wakaanza kumshambulia Ndugai!!
 
Wewe jamaa ni mpumbavu sana sana tu
Dadangu, kulikoni?!

Ni frustration za kuachwa, kuletewa nyumba ndogo, au ni frustration za kufanyiwa kale kamchezo kwa nguvu?!

Kama ndivyo, unaonaje basi ukiongea na mumeo ili myamalize kiutu uzima?!

Tafadhali sana, usifikirie kudandia mabwana wa mitandaoni hususani kama una watoto wanaohitaji malezi ya mama!!
 
Wewe una chuki za kupelekwa kijiweni shauri ya cheti fake.

Mtoa hoja amemtaka Mwambe athibitishe huo uongo ili kuondoa ujinga kama huu wa kwako.
Mm sitegemei vyeti ili niishi ndugu yangu,naweza kukuajiri ww na ukoo wenu wote.

Kwann unalazimisha Mwambe athibitishe Ila hukutaka Jiwe athibitishe kile alichokisema?

Mbona unakuwa na double standards?
Tatizo lenu mmelishwa sana matango pori hadi uwezo wa kufikiri umeshuka
 
Magu anadhalilika vipi,wakati yeye alikuwa mwalimu wa uongo,na hawa ni wanafunzi wake
 
Mimi yote hayo siyajui, na wala msinihusishe kwa sababu sitaki ushahidi

Binafsi nalijua lile la Rais wetu kipenzi kuokota vichwa vya treni visivyo na mwenyewe pale bandarini...

Ndugu yangu TUJITEGEMEE, nakumbuka uliniambia nawe ulikuwa kwenye ule msafara ulioenda bandarini kimya kimya ingawaje mlikuwa na kundi kuuubwa la Waandishi wa Habari...

Hivi mliokota vichwa vingapi vile?!
 
Safi sana nimekuelewa
 
Jambo ambalo mara nyingi najiuliza ni kama mkataba ulisainiwa mbona hao wawekezaji hawajawahi kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa kuvunja mkataba. Wataalamu wa kesi za kimataifa watusaidie pengine kuna kesi.
 
Wananchi wengi hata hawana habari na hili. Wako bize, ajira, ukame mitaji, bongo star search, soka, movies, maisha...
Mitandaoni sanasana ndio wanajua haya ila watu wapaswa kufahamu. Sasa nani atawafanya wafahamu.


Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Wew ndo kilaza kama umejiajiri basi ni kwenye unga .ukimsikilza mwambe utajua kuwa anrudia yale yale aliyosema magufuli.mfano ujenzi wa bandari yoyte from dar to tanga sasa hapo kwenye tanga ameandika tu pangani sasa watu wajiuliza pangani ipo wapi kama sio tanga hiyo hiyo
 
Malofa kama ww siwajibu tena nimekupuuza
 
Ndugu yangu @TUJITEGEMEE, nakumbuka uliniambia nawe ulikuwa kwenye ule msafara ulioenda bandarini kimya kimya ingawaje mlikuwa na kundi kuuubwa la Waandishi wa Habari...

Hivi mliokota vichwa vingapi vile?!
Ha ha ha haaa! Uchokozi huo unafanya, Mkuu.
 
Keshakufa nakushauri ukamfufue
 
Bunge liko wapi?! Kwa nini wabunge msiombe taarifa rasmi kuhusu mradi wa Bagamoyo na sisi kama wananchi tuliowatuma Bungeni tujuwe KUNA NINI UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO?
Hatuna bunge acha kujipa stress, tuna kikundi cha CCM cha Praise & Worship. Kumejaaa waj...ng tupu mle ndani. Huwezi kuwa na mbunge ambaye hakuchaguliwa, huwezi kuwa na Wabunge wa chama kimoja tens chama chenyewe ni CCM!

CHAMA kinachowaza chaguzi tu siku zote, chama kinachotegemea uongo na state apparatuses Ku exist, chama kama hiki hakiwezi kamwe kuwa na Critical thinkers
 
Hana ufafanuzi wa mradi zaidi ya kusoma walichopanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…