Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa


Who told you hawa Gwajima wawili ni mashemeji?

Wala hawajuani kifamilia, ni yule mwanasheria anaitwa Gwajima, ambaye ni msukuma ndio kamuoa Dorothy, ila Gwajima pastor fake wala hawajuani kabisa na yule, sbb ni wasukuma tu labda useme ndio wanaitana hivyo, ila hawana ushemeji, sbb enzi za mwendazake usukuma ulishamiri sana
 
Aliyesema ni Dr. Dorothy Gwajima

So we unajua nasaba zao kuliko wenyewe.
Hujamsikia kwenye hio video ya maagizo?
 
Huyu mama ni kituko kabisa,anatabia kama kabinti kalikovunja ungo,kalikotolewa bikira hivi karibuni.
Badala ya kutoa Elimu kuhusu chanjo,yeye ametoa maneno ya kashfa tupu,
 
Bado kabisa huelewi mambo, hapo uliposema Dr. Gwajima ni raia, na aliapa kwa raia, pia unaonekana umepaniki.

Unaposema TAKUKURU wanataka wapewe barua hadharani unamaanisha nini? hiyo siku ya kupewa barua ziwepo camera za Tv kuonesha tukio live?!

Unamuuliza Nani? Siri! Nenda wizarani au central watakupa address yake
 
Jamani acheni tu niseme ukweli, ... pepo wangu wa mahaba huwa haniachi salama pale mrembo anaponinasa kibao❣️❣️❣️
... YAANI SASA HIVI NIKIONA PICHA YA DR. DOROTHY NDO NIMEONA
PENZI LANGU❣️❣️❣️
 
Sijaona Kosa la Waziri wa Afya Dk. Gwajima kwa aliyoyasema na Kuyaamuru.

Hivi Waziri Dk. Gwajima ni wa Kwanza kutoa Amri kwa Polisi kukamata Mtu? Mnatunza Kumbukumbu nyie?

Mna uhakika kuwa katika hili Yeye ndiyo wa Kwanza? Ni kwanini Watanzania ni Wanafiki hivi?

Hivi Kipindi cha Hayati Rais Dkt. Magufuli hakuna Mawaziri waliofanya kama huyu wa Afya?

Mbona Wewe na IGP Sirro kipindi hicho wala hamkuhoji na hata tu Kupinga kama hivi?

Wewe ni Team Gaidi wa Kiimani Askofu Gwajima, Team wapinga COVID-19 Jab na una Chuki binafsi na Waziri Gwajima.

Waziri wa Afya Dkt. Gwajima yupo sawa.
 
Aliyesema ni Dr. Dorothy Gwajima

So we unajua nasaba zao kuliko wenyewe.
Hujamsikia kwenye hio video ya maagizo?

Ndio nasema sio mashemeji wa damu, ni ushemeji wa usukuma, kuwa sbb mume wake anaitwa Gwajima na Pastor fake anaitwa Gwajima, ndio maana anamuita shemeji, ila sio ushemeji ule wa kifamilia, sbb tu ya usukuma.
 
Waziri gwajima kafanya sawa kabisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 

RC tu anaweza kutoa amri kwa RPC amkamate raia wa mkoa wake, na RC yuko chini sana ya Waziri, yaani mfano Waziri wa TAMISEMI ndio boss wa RCs, RAS, DCs, DAS etc nchi nzima.

So Waziri kama Gwajima ana mamlaka ya kusema naomba vyombo vya dola vimkamate fulani, na suala la barua linafuata na sbb za kumkamata zinawekwa wazi.

So Waziri kusema fulani akamatwe, ana mamlaka hayo, na ndio maana Waziri wa mambo ya ndani anaweza waamrisha IGP na kumwambia fulani mkamateni. Sasa Waziri Gwajima, ana mamlaka kama Waziri wa Mambo ya ndani, na anaweza sema aliyosema, sbb kama kuna mtu anatumia kanisa lake fake kuleta sintofahamu kwa nchi kuichafua Wizara ya Afya, Waziri ana mamlaka ya kusema akamatwe na barua na sbb za kukamatwa zinapelekwa polisi.
 
[emoji28][emoji28][emoji28] maza kazingua sana hata kama kaona si akaushe??
 
Kama hujui nyamaza utaaibika
Kofia za rais zinatumika mahala husika.

Rais akimwapisha mteuliwa wa CCM anamwapisha kama Mkt wa Chama na sio RAIS
Siku ukijua kutofautisha shughuli za chama na serikali ndio uje kuanzisha thread jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…