Jasusi Mbobezi
Senior Member
- May 17, 2020
- 195
- 851
Huyu maza hana akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea kwa mipasho kama kawaida yako huku ukidemka ukimshambulia shemeji yako kwa mambo yasiyohusiana na chanjo.
Mambo ya yeye kulala na muumini wake we yanakuhusu nini?
Mambo ya kumfufua Amina Chifupa yanahusianaje na chanjo?
Nimekusikia ukidai umeapa kwa AMIRIJESHI MKUU wa majeshi ya ulinzia na usalama. Huo nio UONGO wewe ni RAIA kwaio uliapishwa na RAIS wa JMT na sio Amirijeshi Mkuu.
Kwa muktadha huo ukajipa Mamlaka ya KUWAAGIZA IGP na Mkuu wa TAKUKURU kuchukua hatua bila kujua huna mamlaka hayo, ona sasa kwa.kuwa wanajua mipaka yao wamekudai uwape barua hadharani hii ni fedheha kubwa sana kwako.
Nikukumbushe tu wanaoapa KIAPO CHA UTII kwa AMIRIJESHI MKUU NI MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA na sio RAIA.
Haufai kuwa kiongozi na kufanya personal attack kwa kutumia cheo chako.
Bi Mkubwa akiziba pengo la Waziri wa Ulinzi hatakuacha anza kujiandaa.
Aliyesema ni Dr. Dorothy GwajimaWho told you hawa Gwajima wawili ni mashemeji?
Wala hawajuani kifamilia, ni yule mwanasheria anaitwa Gwajima, ambaye ni msukuma ndio kamuoa Dorothy, ila Gwajima pastor fake wala hawajuani kabisa na yule, sbb ni wasukuma tu labda useme, ila hawana ushemeji, ila walazimishe sbb enzi za mwendazake usukuma ulishamiri sana
Wengine mazombi humuSirro mwenyewe kasema anahitaji barua maana yake hajapewa barua rasmi hayo makamera ni yanini tena ili kuthibittisha.
Yupe ni binti au bibi kizee? [emoji23][emoji23][emoji23]Mmemkalia kooni binti wa watu. Pole sana Doroth
Serikali na wizara husika ni lini walijibu hoja za gwajiboy!!?!Acheni double standards!
NI WAKATI SASA ASKOFU GWAJIMA NAE 'AJIBU HOJA ZA MOTOMOTO ZA MAMA GWAJIMA'!
Umeona eenhh??.Gwajiboy vs Gwajigirl
wote ni
wasukuma
Ni ccm,
ni wanasiasa,
ni comedian.
Watafikia muafaka
Huyu mama ni kituko kabisa,anatabia kama kabinti kalikovunja ungo,kalikotolewa bikira hivi karibuni.Umeongea kwa mipasho kama kawaida yako huku ukidemka ukimshambulia shemeji yako kwa mambo yasiyohusiana na chanjo.
Mambo ya yeye kulala na muumini wake we yanakuhusu nini?
Mambo ya kumfufua Amina Chifupa yanahusianaje na chanjo?
Nimekusikia ukidai umeapa kwa AMIRIJESHI MKUU wa majeshi ya ulinzia na usalama. Huo nio UONGO wewe ni RAIA kwaio uliapishwa na RAIS wa JMT na sio Amirijeshi Mkuu.
Kwa muktadha huo ukajipa Mamlaka ya KUWAAGIZA IGP na Mkuu wa TAKUKURU kuchukua hatua bila kujua huna mamlaka hayo, ona sasa kwa.kuwa wanajua mipaka yao wamekudai uwape barua hadharani hii ni fedheha kubwa sana kwako.
Nikukumbushe tu wanaoapa KIAPO CHA UTII kwa AMIRIJESHI MKUU NI MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA na sio RAIA.
Haufai kuwa kiongozi na kufanya personal attack kwa kutumia cheo chako.
Bi Mkubwa akiziba pengo la Waziri wa Ulinzi hatakuacha anza kujiandaa.
Waziri wa Afya Dr Gwajima sio msukuma ni mnyiramba wa singida,Hilo jina Gwajima ni la mumewe.Umeona eenhh??.
Bado kabisa huelewi mambo, hapo uliposema Dr. Gwajima ni raia, na aliapa kwa raia, pia unaonekana umepaniki.
Unaposema TAKUKURU wanataka wapewe barua hadharani unamaanisha nini? hiyo siku ya kupewa barua ziwepo camera za Tv kuonesha tukio live?!
Sijaona Kosa la Waziri wa Afya Dk. Gwajima kwa aliyoyasema na Kuyaamuru.Umeongea kwa mipasho kama kawaida yako huku ukidemka ukimshambulia shemeji yako kwa mambo yasiyohusiana na chanjo.
Mambo ya yeye kulala na muumini wake we yanakuhusu nini?
Mambo ya kumfufua Amina Chifupa yanahusianaje na chanjo?
Nimekusikia ukidai umeapa kwa AMIRIJESHI MKUU wa majeshi ya ulinzia na usalama. Huo nio UONGO wewe ni RAIA kwaio uliapishwa na RAIS wa JMT na sio Amirijeshi Mkuu.
Kwa muktadha huo ukajipa Mamlaka ya KUWAAGIZA IGP na Mkuu wa TAKUKURU kuchukua hatua bila kujua huna mamlaka hayo, ona sasa kwa.kuwa wanajua mipaka yao wamekudai uwape barua hadharani hii ni fedheha kubwa sana kwako.
Nikukumbushe tu wanaoapa KIAPO CHA UTII kwa AMIRIJESHI MKUU NI MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA na sio RAIA.
Haufai kuwa kiongozi na kufanya personal attack kwa kutumia cheo chako.
Bi Mkubwa akiziba pengo la Waziri wa Ulinzi hatakuacha anza kujiandaa.
Aliyesema ni Dr. Dorothy Gwajima
So we unajua nasaba zao kuliko wenyewe.
Hujamsikia kwenye hio video ya maagizo?
Waziri gwajima kafanya sawa kabisaUmeongea kwa mipasho kama kawaida yako huku ukidemka ukimshambulia shemeji yako kwa mambo yasiyohusiana na chanjo.
Mambo ya yeye kulala na muumini wake we yanakuhusu nini?
Mambo ya kumfufua Amina Chifupa yanahusianaje na chanjo?
Nimekusikia ukidai umeapa kwa AMIRIJESHI MKUU wa majeshi ya ulinzia na usalama. Huo nio UONGO wewe ni RAIA kwaio uliapishwa na RAIS wa JMT na sio Amirijeshi Mkuu.
Kwa muktadha huo ukajipa Mamlaka ya KUWAAGIZA IGP na Mkuu wa TAKUKURU kuchukua hatua bila kujua huna mamlaka hayo, ona sasa kwa.kuwa wanajua mipaka yao wamekudai uwape barua hadharani hii ni fedheha kubwa sana kwako.
Nikukumbushe tu wanaoapa KIAPO CHA UTII kwa AMIRIJESHI MKUU NI MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA na sio RAIA.
Haufai kuwa kiongozi na kufanya personal attack kwa kutumia cheo chako.
Bi Mkubwa akiziba pengo la Waziri wa Ulinzi hatakuacha anza kujiandaa.
Umeongea kwa mipasho kama kawaida yako huku ukidemka ukimshambulia shemeji yako kwa mambo yasiyohusiana na chanjo.
Mambo ya yeye kulala na muumini wake we yanakuhusu nini?
Mambo ya kumfufua Amina Chifupa yanahusianaje na chanjo?
Nimekusikia ukidai umeapa kwa AMIRIJESHI MKUU wa majeshi ya ulinzia na usalama. Huo nio UONGO wewe ni RAIA kwaio uliapishwa na RAIS wa JMT na sio Amirijeshi Mkuu.
Kwa muktadha huo ukajipa Mamlaka ya KUWAAGIZA IGP na Mkuu wa TAKUKURU kuchukua hatua bila kujua huna mamlaka hayo, ona sasa kwa.kuwa wanajua mipaka yao wamekudai uwape barua hadharani hii ni fedheha kubwa sana kwako.
Nikukumbushe tu wanaoapa KIAPO CHA UTII kwa AMIRIJESHI MKUU NI MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA na sio RAIA.
Haufai kuwa kiongozi na kufanya personal attack kwa kutumia cheo chako.
Bi Mkubwa akiziba pengo la Waziri wa Ulinzi hatakuacha anza kujiandaa.
[emoji28][emoji28][emoji28] maza kazingua sana hata kama kaona si akaushe??Hahaha....nilifurahi tu kusikia kumbe wakubwa nao huwa wanapata 'koneksheni'
Maza kauona hadi mkono wa baunsa ingawa kauita wa bonge....[emoji119][emoji119][emoji119], ina maana ile miuno pia alikuwa anaihesabu inavyocheza takeu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Siku ukijua kutofautisha shughuli za chama na serikali ndio uje kuanzisha thread jf.Kama hujui nyamaza utaaibika
Kofia za rais zinatumika mahala husika.
Rais akimwapisha mteuliwa wa CCM anamwapisha kama Mkt wa Chama na sio RAIS