Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

So IGP "KAMDINDIA" Waziri??

RC ni mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi ya Mkoa analindwa kazini na Nyumbani anatembea na bendera.

Rc hawezi kumuamrisha IGP elewa protocol

Anaweza kumuamrisha RPC
 
So IGP kasinda??

RC ni.mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi ya Mkoa analindwa kazini na Nyumbani anatembea na bendera.

Rc hawezi kumuamrisha IGP elewa protocol

Anaweza kumuamrisha RPC


RC anampa Amri RPC

Waziri anampa Amri IGP, eg Waziri wa Mambo ya Ndani.

Soma nimeandika nn, inaelekea unakurupuka, nani kasema RC anampa Amri IGP?
 
Huyu mama ni kituko kabisa,anatabia kama kabinti kalikovunja ungo,kalikotolewa bikira hivi karibuni.
Badala ya kutoa Elimu kuhusu chanjo,yeye ametoa maneno ya kashfa tupu,
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] yaani anampasha shemeji yake kwa mambo ya kijinga hadharani, ngoja p2 ifike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamani acheni tu niseme ukweli, ... pepo wangu wa mahaba huwa haniachi salama pale mrembo anaponinasa kibao[emoji3589][emoji3589][emoji3589]
... YAANI SASA HIVI NIKIONA PICHA YA DR. DOROTHY NDO NIMEONA
PENZI LANGU[emoji3589][emoji3589][emoji3589]
[emoji855][emoji855][emoji855][emoji855]
 
IGP kasema kaelewa kwanini kajibu.vile

Haoni crime kwenye matamshi ya.J. gwajima so Anataka MAELEKEZO YA.MAANDISHI

Maana ya maelekezo ni.kwamba Waziri afafanue wakahoji nini hasa??

La pili TAKUKURU inaingiaje hapo?
 
Umeongea kwa mipasho kama kawaida yako huku ukidemka ukimshambulia shemeji yako kwa mambo yasiyohusiana na chanjo.

Mambo ya yeye kulala na muumini wake we yanakuhusu nini?

Mambo ya kumfufua Amina Chifupa yanahusianaje na chanjo?
Sasa kama anatokea mtu anajiita Mchungaji; kisha anafanya yote hayo halafu leo hii aniambie kuhusu chanjo!! Nikimsikiliza nitakuwa mwehu wakati tayari hayo juu yanaondoa credibility ya uchungaji wake!!
 
Ndio nasema sio mashemeji wa damu, ni ushemeji wa usukuma, kuwa sbb mume wake anaitwa Gwajima na Pastor fake anaitwa Gwajima, ndio maana anamuita shemeji, ila sio ushemeji ule wa kifamilia, sbb tu ya usukuma.
Sasa hayo ya Damu mkuu unayajua ww kwa kuwa unawajua personally ila jukwaani kamuita SHEMEJI si tumeelewa hivyo
 
Gwajiboy vs Gwajigirl
wote ni
wasukuma
Ni ccm,
ni wanasiasa,
ni comedian.
Watafikia muafaka
Na kweli hawa watu wanatupiga kiini macho, wakikutana anga zao, huyo huyo Doroth anampigia magoti utadhani anaomba toba. Mwisho wa siku stering anauwawa, mchezo unaishia hapo.
 
Sasa hayo ya Damu mkuu unayajua ww kwa kuwa unawajua personally ila jukwaani kamuita SHEMEJI si tumeelewa hivyo

Naona mnamdharau Waziri Gwajima sbb ni mwanamke, mnaona kama hana mamlaka vile, na hii tabia ni kasumba mbaya sana, maana ni dharau kabisa.
 
Siku ukijua kutofautisha shughuli za chama na serikali ndio uje kuanzisha thread jf.
We jamaa pimbi hadi unakera ngoja nkujuze kidogo÷

1. Rais anapofanya majukumu yanayohusu majeshi, kwa mfano kupandisha vyeo maofisa wa majeshi (hasa yanayovaa sare) au kukagua gwaride, kufungua/kufunga mafunzo, Siku ya uhuru na mengineyo meeengi anabeba cheo cha RAIS NA AMIRI JESHI MKUU.

2. Rais anapofanya majukumu yake mengine anaitwa Rais wa JMT

3. Anapofanya majukumu ya kichama CCM anaitwa MWENYEKITI WA CCM TAIFA.

Majina haya yamewachanganya wakati wa JPM kwasababu ya tabia yake ya INTIMIDATION

anamuapisha katibu.mkuu wa chama anaalika WAKUU WOTE WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA

Na alipenda sana Uanajeshi ndio maana hata GWANDA alivaa

Hope umenielewa "kama ukiamua lakini" kama una elimu mbadala karibu tuelimishane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…