EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
So IGP "KAMDINDIA" Waziri??RC tu anaweza kutoa amri kwa RPC amkamate raia wa mkoa wake, na RC yuko chini sana ya Waziri, yaani mfano Waziri wa TAMISEMI ndio boss wa RCs, RAS, DCs, DAS etc nchi nzima.
So Waziri kama Gwajima ana mamlaka ya kusema naomba vyombo vya dola vimkamate fulani, na suala la barua linafuata na sbb za kumkamata zinawekwa wazi.
So Waziri kusema fulani akamatwe, ana mamlaka hayo, na ndio maana Waziri wa mambo ya ndani anaweza waamrisha IGP na kumwambia fulani mkamateni. Sasa Waziri Gwajima, ana mamlaka kama Waziri wa Mambo ya ndani, na anaweza sema aliyosema, sbb kama kuna mtu anatumia kanisa lake fake kuleta sintofahamu kwa nchi kuichafua Wizara ya Afya, Waziri ana mamlaka ya kusema akamatwe na barua na sbb za kukamatwa zinapelekwa polisi.
RC ni mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi ya Mkoa analindwa kazini na Nyumbani anatembea na bendera.
Rc hawezi kumuamrisha IGP elewa protocol
Anaweza kumuamrisha RPC