Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

Kwa hiyo shemej mnatuchanganya,kuna Gwajima mwanamke na Gwajima mwanaume
 
Huyu atatafuta mahali pa kulala, ameshaharibu kwa kina gwajima........anaweza akatakiwa kusalimisha na jina kama yule mbunge wa wapi kule.
 
Reactions: mmh
Serikali inatumia nguvu nyingi mno kumjibu Gwajiboy, kinachowatesa ni big U-turn yao ya kutoka nyungu na ghafla bin vuu kuhamia kwenye chanjo.
 
Ulinitaka mwwnyeqe lazima ung'ate meno.ebo.wewe mpiga nyungu aka mganga wa jadi.mwache gwajima boy afanye yake
 
Gwajima Dorothy huna legitimacy wewe, ulituambia nini wakati wa mwendazake?
 
Reactions: mmh
Huyu mama mcharuko kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…