Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Wanaparuana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kweli mkuu , umeongea simple ila Kuna ujumbe mzitoHuzijui familia za kiafrika.Usitegemee Gwajima Waziri kutengwa as long analeta ugali nyumbani kwao
Serikali inatumia nguvu nyingi mno kumjibu Gwajiboy, kinachowatesa ni big U-turn yao ya kutoka nyungu na ghafla bin vuu kuhamia kwenye chanjo.Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji.
Waziri huyo amewashangaa wananchi wanaomuamini “huyu shemeji yangu Askofu Gwajima, hivi si ni yeye alisema atamfufua Amina Chifupa, Je alimfufua? Hivi si ni yeye alisema ubunge ni jambo dogo hawezi kuwa mbunge lakini hivi sasa ni mbunge. Hivi si ni yeye alikutwa na mrembo akasema ni mkono wa baunsa.. inakuwaje mnamuamini bado.”
View attachment 1895773
Hasa ukizingatia Gwajiboy ni porn star.Hahaha!
Ananikumbusha ule wimbo wa "shemeji shemeji huku wazima taa!"[emoji23][emoji23][emoji23]
Gwajiboy vs Gwajigirl = GwajiwarHahahahahah eti alikutwa na mrembo akasema mkono was baunsa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vita ya gwajigirl na gwajiboy unaeza iita gwajibattle kwani wote ni gwajifix
Episode one...Keeping up with the Gwajima
Gwajima Dorothy huna legitimacy wewe, ulituambia nini wakati wa mwendazake?Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji.
Waziri huyo amewashangaa wananchi wanaomuamini “huyu shemeji yangu Askofu Gwajima, hivi si ni yeye alisema atamfufua Amina Chifupa, Je alimfufua? Hivi si ni yeye alisema ubunge ni jambo dogo hawezi kuwa mbunge lakini hivi sasa ni mbunge. Hivi si ni yeye alikutwa na mrembo akasema ni mkono wa baunsa.. inakuwaje mnamuamini bado.”
View attachment 1895773
Huyu mama mcharuko kweli kweli.Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji.
Waziri huyo amewashangaa wananchi wanaomuamini “huyu shemeji yangu Askofu Gwajima, hivi si ni yeye alisema atamfufua Amina Chifupa, Je alimfufua? Hivi si ni yeye alisema ubunge ni jambo dogo hawezi kuwa mbunge lakini hivi sasa ni mbunge. Hivi si ni yeye alikutwa na mrembo akasema ni mkono wa baunsa.. inakuwaje mnamuamini bado.”
View attachment 1895773
Dude la Gwajima limepoa , shemeji kamchakazaNaliamsha dudeeeeeeeee