macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
''Askofu'' wako hana hoja. Labda uniambie kujirekodi mwenyewe wakati anafanya ngono na waumini wake! Hili la mkono wa baunsa alifikiri limeisha kumbe ngoma bado iko mbichi. Akicheza watampeleka mahakamani kwa kurekodi na kusambaza clip chafu za ngono.Sasa haya ndio majibu ya hoja za Askofu?....
Nonsense.
Naona mipasho imeanza ...Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio
Muda sii mrefu Gwajima askofu ataanza kutoa siri zake za ndaniHahaha!
Ananikumbusha ule wimbo wa "shemeji shemeji huku wazima taa!"[emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kusema waziri mmoja katika baraza la mawaziri la serikali ya JMT alirushiwa video ya dude au aliingia mtandaoni kucheki midude? Sikuamini, unadanganya.Kumbe ule mkanda wa X ni wa kweli
Kwa hiyo shemeji kathibitisha kwamba ule mkono haukuwa wa baunsa bali ni wa Askofu?Daktari Gwajima vis Baba Askofu Gwagima wote mabingwa wa vibwagizo, sema tu Baba Askofu akubali yaishe ili tusonge mbele.
Hata Mimi simwamini, nakumbuka yooote hayo
Binti yangu umenifurahisha. umetoa muarobaini kwa tatizo. Nadhani huu ni mwanzo wa mwisho wa Gwajima askofu wa kujipachika na tapeli wa kunuka.Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji.
Sidhani kama Doctor Gwajima ( waziri) amezuia watanzania wasitumie nyungu.Imekuwaje sasa amebadili gear angani? Au kwasababu bwana yule amesha resti in pisi?
Ngoja tuje tusikie mara sijui alifumaniwa, mara sijui nini, jpili wanaweza kufichua siri zake nyingi toka yuko sekondari, who know?Hili jibu nililitegemea tu..
Huyu mama anachokifuta atakipata..
Baada ya bashite tutegee mapya j'pili
Jamani hawajapunguza gharama za miamala ya simu! Bado tunaumia na tozo hizi! Hawa akina Gwajima wasitusahaulishe jambo zito la tozo.Imekuwaje sasa amebadili gear angani? Au kwasababu bwana yule amesha resti in pisi?
Hata mimi huwa nawashangaa hawa watu, kwanini wasijibu hoja kwa hoja badala ya kuleta vihoja?!Sasa haya ndio majibu ya hoja za Askofu?....
Nonsense.
Mkuu huyu Waziri Gwajima kafanya update ya mkono ni wa nani kwenye clip.Mimi nadhani Baba Askofu agefunga mdomo.Kwa hiyo shemeji kathibitisha kwamba ule mkono haukuwa wa baunsa bali ni wa Askofu?