Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

Sasa haya ndio majibu ya hoja za Askofu?....
Nonsense.
''Askofu'' wako hana hoja. Labda uniambie kujirekodi mwenyewe wakati anafanya ngono na waumini wake! Hili la mkono wa baunsa alifikiri limeisha kumbe ngoma bado iko mbichi. Akicheza watampeleka mahakamani kwa kurekodi na kusambaza clip chafu za ngono.
 
Masikini, huyu mama ndio ameshaanza kuchanganyikiwa, daah. Hivi hoja si huwa zinajibiwa kwa hoja?

Iweje ajibu kwa vihoja badala ya kujibu hoja za Askofu?
 
Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji.
Binti yangu umenifurahisha. umetoa muarobaini kwa tatizo. Nadhani huu ni mwanzo wa mwisho wa Gwajima askofu wa kujipachika na tapeli wa kunuka.
 
Vita imeiva,tunasubiri mashambulizi kutoka kanisani sasa
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kwa hiyo shemeji kathibitisha kwamba ule mkono haukuwa wa baunsa bali ni wa Askofu?
Mkuu huyu Waziri Gwajima kafanya update ya mkono ni wa nani kwenye clip.Mimi nadhani Baba Askofu agefunga mdomo.
 
Shemejiiiiiiiiiii umeumbuka kumbe ulikula mwanakwayaaaa ha ha ha ha

Ila kile kilikuwwa chuma aka pic kali yaani...kilikuwa ni kitam aisee tumsamehe tu bure mwana kondoo wa bwana aliyeamua kuutafuna bila huruma mfugo wake.
 
Kuna umuhimu na ulazima kuwapima wagombea utimamu wa akili siku za usoni na matokeo yawekwe wazi! Kosa kubwa tulilifanya 2015 litaendelea kututesa. Sababu ndege wafananao huruka kundi moja
 
Back
Top Bottom