Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

Askofu Rashidi aliseema wamehongwa na wamechanjwa chanjo feki, ulitaka wamjibuje?
Wao ni chama kimoja iwapo Kama wataanza kufedheshana wao kwa wao lazima chama kigawanyike mkuu. Ukizingatia gwajima lazima awe na watu wanaomsaport. Jua kuwa Wapo wengi wanaopinga chanjo na hao ndo watampa nguvu gwajima. Alafu wapinzani wakiona madhaifu yao itakuwa rahisi kuwapiku.
 
Hahahahahah eti alikutwa na mrembo akasema mkono was baunsa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Vita ya gwajigirl na gwajiboy unaeza iita gwajibattle kwani wote ni gwajifix
Yaani wote comedian [emoji28][emoji3][emoji1][emoji2][emoji1241]
 
Gwajigirl anapasha misuli kwa battle dhidi ya shemeji yake mchunga kondoo Gwajiboy.
JamiiForums-497957350.jpg
 
Kipindi Rashid Gwajima anabwatuka pale Ubungo hakujua kama wizara ya afya ipo chini ya shemeji yake.
Basi ukiona hivyo nae kajipanga na watu wake!! Hivi kwenye sakata hili Mume atakua upande wa Mke au upande wa Kaka!? Maana namuonea huruma sana,ana mtihani Mkubwa sana!!
 
gwajiboy afungwe mdomo wake kwa kujibiwa hoja zake
Wabongo mna shida,kwa hiyo hujasoma kulichoandikwa au hujamsikia waziri wa afya alipoongea na kujibu hoja za Ngwajiboy? Hoja zenyewe asilimia kubwa ni upuuzi unaopingana na sayansi ambayo anajaribu kuizungumzia,hana point ya maana,lakini yote yashajibiwa.
 
Yaani ukigeuka huku sabaya. Ukigeuka huku gwajima. Me na. Ke.
😄😄😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom