mohamedjohn
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 467
- 277
[emoji28][emoji2][emoji3][emoji1][emoji1241]Hakuna namna, jumapili ni kutega sikio kama dishi la azam kuelekea ubungo kwa askofu Rashid.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji2][emoji3][emoji1][emoji1241]Hakuna namna, jumapili ni kutega sikio kama dishi la azam kuelekea ubungo kwa askofu Rashid.
Wao ni chama kimoja iwapo Kama wataanza kufedheshana wao kwa wao lazima chama kigawanyike mkuu. Ukizingatia gwajima lazima awe na watu wanaomsaport. Jua kuwa Wapo wengi wanaopinga chanjo na hao ndo watampa nguvu gwajima. Alafu wapinzani wakiona madhaifu yao itakuwa rahisi kuwapiku.Askofu Rashidi aliseema wamehongwa na wamechanjwa chanjo feki, ulitaka wamjibuje?
Yaani wote comedian [emoji28][emoji3][emoji1][emoji2][emoji1241]Hahahahahah eti alikutwa na mrembo akasema mkono was baunsa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vita ya gwajigirl na gwajiboy unaeza iita gwajibattle kwani wote ni gwajifix
[emoji2][emoji28][emoji1][emoji3]Nireteeeeni Gwajmaaaaaa!
Nireteeeeni Gwajmaaaaaa!
Nireteeeeni Gwajmaaaaaa!
Nireteeeeni Gwajmaaaaaa!
Ndio huyo sasa
[emoji2][emoji3][emoji1][emoji28]Waziri wa futuhi na sanaa.
Basi ukiona hivyo nae kajipanga na watu wake!! Hivi kwenye sakata hili Mume atakua upande wa Mke au upande wa Kaka!? Maana namuonea huruma sana,ana mtihani Mkubwa sana!!Kipindi Rashid Gwajima anabwatuka pale Ubungo hakujua kama wizara ya afya ipo chini ya shemeji yake.
[emoji28][emoji2][emoji1][emoji3]awamu hii Rashidi kakutana na kichaa mwenzie asitegemee ushindi kirahisi
Jumapili ijayo Kanisani kwa Gwajima patajaaaa pomoni, kwa kauli hizi za Shemeji mtu mahubiri ya Jumapili itakuwa motrooooKafufua makaburi ya Gwajiboy[emoji3][emoji3][emoji3]
Vp Katiba mpya,au ndiyo tushaisahau,tunacheza Mziki wa kina Gwaji!!?Jumapili ijayo Kanisani kwa Gwajima patajaaaa pomoni, kwa kauli hizi za Shemeji mtu mahubiri ya Jumapili itakuwa motroooo
Wabongo mna shida,kwa hiyo hujasoma kulichoandikwa au hujamsikia waziri wa afya alipoongea na kujibu hoja za Ngwajiboy? Hoja zenyewe asilimia kubwa ni upuuzi unaopingana na sayansi ambayo anajaribu kuizungumzia,hana point ya maana,lakini yote yashajibiwa.gwajiboy afungwe mdomo wake kwa kujibiwa hoja zake
Ngoja tuone.awamu hii Rashidi kakutana na kichaa mwenzie asitegemee ushindi kirahisi