Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum Dkt. Gwajima D ametangaza kumchukulia hatua za kisheria Masha Love na wanaochochea kuharibu maadili
Waziri ameandika; "Kwani huyu mashalove ambaye kila siku mnamtaja taja humu link yake Iko wapi tuone yaliyomo? Maana Kila mtu humu mashalove Masha Love"
"Na wengine ni akina nani hao ambao tunasema waache mambo ya kuchochea mmomonyoko wa maadili wao hawasikii la mwalimu wala la daktari? Na huku sheria tunazo".
• Mama wa watoto 8 atorokwa na mumewe, aomba msaada
"Na wengine ni akina nani hao ambao tunasema waache mambo ya kuchochea mmomonyoko wa maadili wao hawasikii la mwalimu wala la daktari? Na huku sheria tunazo".
z
Soma, Pia:• Mama wa watoto 8 atorokwa na mumewe, aomba msaada