Tundazuri
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,932
- 2,525
Ndio kazi yake inayomuweka mjini, yaan wabongo wanafki jaman, sasa umelazimishwa kum'follow huyo masha love? Mmelazimishwa kuwafuata hao watoto wa 2000,? Yaan sijapenda kabisaa, kwa hiyo ndio mama ameanza kufunza adabu watu wote ataweza? Kwa taarifa yenu bora hao wanaojinengua kuliko hao wanaojifichaficha. Muacheni masha love afanye kazi yake inayomuingizia kipato ukiona unakereka tuliza mshono unfollow,. Mashalove hana shida yoyote mbona hao waimbaji wa nyimbo za bongo fleva mmewaona wanavyovaa? Jaman hebu angalieni na upande wa wasanii, Dunia imekuwa tusipomuangalia mashalove tutawasha youtube tutawaangalia wa mataifa mengine. Acheni wivu jamanWaziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum Dkt. Gwajima D ametangaza kumchukulia hatua za kisheria Masha Love na wanaochochea kuharibu maadili
View attachment 3139395
Waziri ameandika; "Kwani huyu mashalove ambaye kila siku mnamtaja taja humu link yake Iko wapi tuone yaliyomo? Maana Kila mtu humu mashalove Masha Love"
"Na wengine ni akina nani hao ambao tunasema waache mambo ya kuchochea mmomonyoko wa maadili wao hawasikii la mwalimu wala la daktari? Na huku sheria tunazo".
View attachment 3139402
Soma, Pia:
• Mama wa watoto 8 atorokwa na mumewe, aomba msaada