Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kesi si iko mahakamani ? Je Dr. Gwajima ni mahakama? Grow upNonsense,cheap popularity,Dkt. Gwajima D una mambo mengi ya kufanya na watanzania tuna shida nyingi sana kuliko huu upuuzi...
Umesoma alichokiandika huyo gwajima!?Na ya Gekul Iko Mahakamani!? Man up dude!!Kesi si iko mahakamani ? Je Dr. Gwajima ni mahakama? Grow up
Ilienda mahakamani baadae Dpp akaifuta hapo waziri angefanya nini? Let us be fairNa ya Gekul Iko Mahakamani!? Man up dude!!
KWahiyo wewee Unanifundisha kumuadress kiongozi au !? Mbona ya yeye gwajima hajasema hayo!? Punguza uchumia tumbo,ungemucha akijibu hoja zanguIlienda mahakamani baadae Dpp akaifuta hapo waziri angefanya nini? Let us be fair
Mimi siwezi kuwa mchumia tumbo. Halafu wewe huna uwezo wa kuadress kiongozi. Kwa sababu nimeona uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sanaKWahiyo wewee Unanifundisha kumuadress kiongozi au !? Mbona ya yeye gwajima hajasema hayo!? Punguza uchumia tumbo,ungemucha akijibu hoja zangu
Safi kabisa.. At least watapunguza upuuzi wao mitandaoniWaziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum Dkt. Gwajima D ametangaza kumchukulia hatua za kisheria Masha Love na wanaochochea kuharibu maadili
View attachment 3139395
Waziri ameandika; "Kwani huyu mashalove ambaye kila siku mnamtaja taja humu link yake Iko wapi tuone yaliyomo? Maana Kila mtu humu mashalove Masha Love"
"Na wengine ni akina nani hao ambao tunasema waache mambo ya kuchochea mmomonyoko wa maadili wao hawasikii la mwalimu wala la daktari? Na huku sheria tunazo".
View attachment 3139402
Soma, Pia:
• Mama wa watoto 8 atorokwa na mumewe, aomba msaada
Mimi nakuona kama mchumia tumbo mwenye low IQ,huna uwezo wa kunishauri Mimi akili kubwa ikiwezekana na huyo unayemtetea!!Mimi siwezi kuwa mchumia tumbo. Halafu wewe huna uwezo wa kuadress kiongozi. Kwa sababu nimeona uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana
Huyo masha wanaandaga sex party humo ndani ni mwendo waSafi kabisa.. At least watapunguza upuuzi wao mitandaoni
Mimi nikushauri nini wewe mwenye uelewa mdogo maana hata elimu yako ni hapa na pale tu.Mimi nakuona kama mchumia tumbo mwenye low IQ,huna uwezo wa kunishauri Mimi akili kubwa ikiwezekana na huyo unayemtetea!!