Tuwanyonyeshe? Mtoto kaambiwa ukifeli shule tafuta babako, huko si kuwajibika?Kuna watoto wengi sana wanapitia hayo , wanaume hatuwezi kukwepa hizi lawama tujitahidi kuwajibika kama tulivyo kazana kuwaleta Dunia Basi tuwalee..kosa labda kuwapelaka mtandaoni hata hivyo mtandaoni wangeonekana tu kwa wakati wa Sasa mitandao haikwepeki
Kha! Nampenda mamake, yeye asomeWababa wasiopenda Watoto wao wawapende na kuwatunza.
Watoto jawajasema hawahudumiwi, wanadai hawapendwi, sasa mtoto kichwani hamnazo na kaambiwa akifeli asirudi nyumbani, huyu anahudumiwa ila hapendwiHudumieni watoto bwana.
Asante kwa paragraph ya tatuNi kitu kizuri kumfariji na kumtia moyo mtu, ila hapo si mahali sahihi. Kwa muktadha wa shuleni, wanafunzi wenzio wakijua matatizo yako wanaweza kuyatumia against you mambo yakazidi kuwa magumu kwa mhusika.
Nilipokuwa binti mdogo nilikua namuona Lilian kama mtu mwenye akili sana sababu anajua kuongea/present, baada ya akili zangu kukomaa nimekuja kugundua Lilian ni mpumbavu mmoja mwenye “Audacity” na guts za kudisplay upumbavu hadharani, sorry not sorry.
Bottom line: wanaume jitahidini kuwa kwenye maisha ya watoto mnaoshiriki kuwaleta duniani baada ya ile starehe, hakuna maumivu mabaya kama maumivu ya kukataliwa, ninyi tu mkikataliwa kwenye kutongoza mnakuwa na vinyongo wakati mwingine inakuwa vita kabisa, sembuse mtu aliyekataliwa na aliyemleta duniani? SMH! 🤦🏻♀️
Demu mmoja mwenye pande mbili huku anajidai mtakatifu upande wa pili ni mkatafito.Huyo Lilian Mwasha ndio nani, wengine tuko kanda maalum huku hatumjui.
Leo nataka kutoa somo, kwa kutoa mfano ambao umenitokea, kwa hawa wapenzi wetu wa zamani ambao tumezaa nao na haikuwa riziki (yaani hatuishi wote)! Hasa wanaoitwa jina ambalo silipendi - single mothers.Kabisa, kumwambia mtoto usilete zero ndani kwangu ni kutokuwajibika? Kwahiyo anataka tukawafanyie quez mashuleni?
Nimependa maoni yako, ila kumbuka ndoa ni kitu tofauti na urafiki wa mapenzi. Unaweza kuzaa na mtu baadaye asiwe mtu sahihi wa kuishi naye. Ikitokea, mzazi jaribu ku move on ili mkalee hicho kiumbe. Kung’ang’ania kuolewa kwa kumtumia mtoto, haijengi bali kuharibu future ya mtotoNi kitu kizuri kumfariji na kumtia moyo mtu, ila hapo si mahali sahihi. Kwa muktadha wa shuleni, wanafunzi wenzio wakijua matatizo yako wanaweza kuyatumia against you mambo yakazidi kuwa magumu kwa mhusika.
Nilipokuwa binti mdogo nilikua namuona Lilian kama mtu mwenye akili sana sababu anajua kuongea/present, baada ya akili zangu kukomaa nimekuja kugundua Lilian ni mpumbavu mmoja mwenye “Audacity” na guts za kudisplay upumbavu hadharani, sorry not sorry.
Bottom line: wanaume jitahidini kuwa kwenye maisha ya watoto mnaoshiriki kuwaleta duniani baada ya ile starehe, hakuna maumivu mabaya kama maumivu ya kukataliwa, ninyi tu mkikataliwa kwenye kutongoza mnakuwa na vinyongo wakati mwingine inakuwa vita kabisa, sembuse mtu aliyekataliwa na aliyemleta duniani? SMH! 🤦🏻♀️
Yaan Damu inamchemka balaa na hapa ndio huwa udhaifu wake kuna maeneo mengine anakuwa na hojaHuyo akishaona majina ya kigalatia mfano kina Ester,Dorika or Dorice,Maria n.k mapepo yanampanda....
Kiongozi nakubaliana na wewe hasa kwenye bullying, unyanyapaa na usokoronyo-mtima😁, maana sasa watakwekwa label... The best way ilikua kuwa identify na kuongea au kuwa ombea kwa siri... Hapo anatafuta public attention na sympathy.Kwa kigezo kipi anatumia kuhakiki hiyo 'chuki' ikiwa ni mtoto ndio kaulizwa bila ya mzazi husika kuwepo?
Kuwaita mbele ya wenzao ni kuweka suluhisho lolote la kuleta huo upendo? Kama dhamira ni kumkabili/wajibisha mzazi husika, je anaathirika/wajibishwa vipi ikiwa hayupo hapo?
Kwa sehemu kama shule hudhani anatengenezea hao waliojitokeza mbele mazingira ya kuonewa 'bullying' na wenzao kwa kufanyiwa dhihaka ya kutokupendwa na wazazi wao?
Well said broKiongozi nakubaliana na wewe hasa kwenye bullying, unyanyapaa na usokoronyo-mtima😁, maana sasa watakwekwa label... The best way ilikua kuwa identify na kuongea au kuwa ombea kwa siri... Hapo anatafuta public attention na sympathy.
Ikumbukwe kwamba baba kukataa kumhudumia mtoto Kuna sababu nyingi, na sio makosa anayo baba peke yake... Wako wamama walidaka mimba ili waolewe au wajengewe nyumba....na malengo hayo hayakuwekwa wazi kwa mwanaume, sasa inapotokea ameshika mimba anadai haki wakati hayakua makubaliano ya awali ktk mahusiano, Je ni Sawa kulazimisha mtu?
Ni wakati sasa wamama wawajibike kwa kutokujitunza na kudandia mahusiano yasio na malengo ya ndoa... Matokeo ni kama haya... Nasisitiza sababu ziko nyingi na hii ni moja wapo tu!!
Hakuna mwanaume anayekataa mtoto mkuu! Ila mama zao wanawakatalia, hawahitaji hata baba zao kuonana na watoto wao. Zaidi ya hapo hata baba anawajibika kwa kiasi gani provided hakai na yule mtoto, mathalani anamtumia mama yake matumizi ya mwanae, mama anajificha kwenye kichaka cha kuwa yeye ndo anamhudumia mtoto kwa kila jambo,
Hawa wanaharakati uchwara wana matatizo sana. Sasa hapo amewasaidia hao watoto au amezidi kuwaharibu kisaikolojia?
Lakini ndugu zangu wanaume tuone aibu, tunatungisha mimba, tunapotea na kuwaacha watoto wakiteseka halafu baadae tunawalaumu mama zao eti wanawajaza chuki watoto.