Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lkn mama anakitamani hivyo hivyo,anawashwa nacho.Rashidu anakibamia wewe ulikua huoni kwenye ile porn kinapwelepweta tu
Kwakweli!!!Kama Taifa tuna shida sana huu ni mfano tosha.
unataka hii kesi na basata waingie?Jasusi la Mbinguni. Waziri anaahidi kumvua mtu nguo hadharani? Hii ni attack au lugha mbaya!! Basata mko wapi
mamlaka ya juu nayenyewe ni kama inasubiri tamko😀😀Kwakweli!!!
Ni aibu kubwa sana, watu wazito wenye dhamana ya Wananchi wanalubana kuhusu jambo ambalo lina impact kwa afya ya Watanzania, shame on them!! Hapa inatakiwa kauli moja tu kutoka mamlaka za juu ili haya majibizano yakome
Hii nchi inabidi kuongozwa na wanaume💪Sirro ameshasema kuwa haoni jinai, yaani Rais wa nchi kushutumiwa kupokea rushwa kwa Sirro haina shida
Dada usijiumbue. Haya mambo naye akija atasema wewe una bwawa. Inafaa mambo ya ndani msiwe mnayatoa nje. Mwanamke unapaswa kujiheshimu. Shauri yenu wenyewe ...sisi tunaangalia tu. Ila si vyema kila mtu ajue kuwa ulilalwa naye ...unajichoresha 😂😂😂😂😂Rashidu anakibamia wewe ulikua huoni kwenye ile porn kinapwelepweta tu
😆😆😆😆😆😆😆 up to infinite!!!!!!!!!!!!mamlaka ya juu nayenyewe ni kama inasubiri tamko😀😀
Lema yupo sahihi. Hizi ngonjera zimejaa unafiki, ubaguzi, na ufinyu wa mawazo. Hizo kauli za askofu gwajima kama angekuwa ametoa J.J. Mnyika au kiongozi yeyote wa CHADEMA, Sirro wala asingepoteza sekunde, angeshamteka, siku tano hajulikani yuko wapi, kisha angepigwa kesi ya ugaidi, na kesi ikitajwa mara moja, unaahirishwa mwezi mzima, ingawa Sirro atadai upelelezi umekamilika. Siku ya kesi tutaambiwa hakuna usafiri wa kumleta mtuhumiwa, japo magarivya kumpeleka Sabaya mahakamani kila siku yapo.
Pole sana Dr. Dorothy Gwajima!!Hichi ndo nilikua nawaza mimi,mtaalamu within six month kubadilika ghafla KWA kufata upepo.
View attachment 1897010
Pikeni idadi ya kutosha ya vifo ili afurahie aliyewaletea chanjo.DKT. GWAJIMA: CORONA IMESABABISHA VIFO VYA KUTOSHA
Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amesema vifo vitokanavyo na corona vipo vya kutosha kamati inaandaa takwimu ili kuzitoa hivi karibuni
Aidha amesema kuhusu suala la mbunge wa Kawe, Askofu Josephati Gwajima amesema wameendelea kufuata hatua ili aweze kuhojiwa
Amesema ajenda hiyo isitumike kisiasa kwa kuwa atawavua nguo hadharani.