#COVID19 Waziri Gwajima: IGP Sirro yupo sahihi, wanaonichonganisha nitawavua nguo hadharani. Asema Corona imesababisha vifo vya kutosha

#COVID19 Waziri Gwajima: IGP Sirro yupo sahihi, wanaonichonganisha nitawavua nguo hadharani. Asema Corona imesababisha vifo vya kutosha

Ingekua kwa Magu huyu waziri angeshamwaga usiku wa jana.
Yaani yuko kwenye ofisi ya uma anaongea lugha hizo!!
 
IMG_20210818_150417.jpg
 
Jasusi la Mbinguni. Waziri anaahidi kumvua mtu nguo hadharani? Hii ni attack au lugha mbaya!! Basata mko wapi
unataka hii kesi na basata waingie?
 
Hivi majuzi nilikuwa nahama nchi kwenda burundi nilikuwa nimeshika mpakani na mabegi yangu makubwa niliposikia tu huu mnyukano sikuvuka mpaka ikabidi nirudi nyumbani ili niusikie huu mnyukano vyema kabisa
 
Sirro ameshasema kuwa haoni jinai, yaani Rais wa nchi kushutumiwa kupokea rushwa kwa Sirro haina shida
 
Kwakweli!!!

Ni aibu kubwa sana, watu wazito wenye dhamana ya Wananchi wanalubana kuhusu jambo ambalo lina impact kwa afya ya Watanzania, shame on them!! Hapa inatakiwa kauli moja tu kutoka mamlaka za juu ili haya majibizano yakome
mamlaka ya juu nayenyewe ni kama inasubiri tamko😀😀
 
Rashidu anakibamia wewe ulikua huoni kwenye ile porn kinapwelepweta tu
Dada usijiumbue. Haya mambo naye akija atasema wewe una bwawa. Inafaa mambo ya ndani msiwe mnayatoa nje. Mwanamke unapaswa kujiheshimu. Shauri yenu wenyewe ...sisi tunaangalia tu. Ila si vyema kila mtu ajue kuwa ulilalwa naye ...unajichoresha 😂😂😂😂😂
 
Hichi ndo nilikua nawaza mimi,mtaalamu within six month kubadilika ghafla KWA kufata upepo.

 
Lema yupo sahihi. Hizi ngonjera zimejaa unafiki, ubaguzi, na ufinyu wa mawazo. Hizo kauli za askofu gwajima kama angekuwa ametoa J.J. Mnyika au kiongozi yeyote wa CHADEMA, Sirro wala asingepoteza sekunde, angeshamteka, siku tano hajulikani yuko wapi, kisha angepigwa kesi ya ugaidi, na kesi ikitajwa mara moja, unaahirishwa mwezi mzima, ingawa Sirro atadai upelelezi umekamilika. Siku ya kesi tutaambiwa hakuna usafiri wa kumleta mtuhumiwa, japo magarivya kumpeleka Sabaya mahakamani kila siku yapo.

Lakini kwa kuwa hizi ngonjera zinasaidia kusahaulisha mambo ya msingi kama KATIBA MPYA, kombe limefunikwa wanaharamu wanapita.
Watanzania tunatekenywa, tunacheka kama mazuzu. Tozo za miamala tunazizoea na kuwashangaa wenzetu Wazambia walivyoizingua chama tawala yao, baada ya kuwazingua. Sisi tunazinguliwa kila uchao, tunachekelea.

Tunaambiwa tuko uchumi wa kati, tunachekelea. Mara oooh, uchumi wetu unapaa si kama kwa wenzetu walio lockdown, tunachekelea. Juzi Samia anatutega, uchumi umezorota, wacha ajenge uchumi kwanza, katiba baadaye. Tunachekelea tena. Huu uchumi wa kati tena unaopaa, lini ulianza kudorora? Hayo wala hatujiulizi. Tunacheka tu kama mazuzu.
 
Uajibikaji ni nguzo muhimu sana katika Uongozi.
Kiongozi asiyekubali kuwajibika kwa ajili ya wengine kurekebisha pale alipokosea, siku akiwajibishwa asije sema hakushauriwa vizuri.
 
DKT. GWAJIMA: CORONA IMESABABISHA VIFO VYA KUTOSHA

Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amesema vifo vitokanavyo na corona vipo vya kutosha kamati inaandaa takwimu ili kuzitoa hivi karibuni

Aidha amesema kuhusu suala la mbunge wa Kawe, Askofu Josephati Gwajima amesema wameendelea kufuata hatua ili aweze kuhojiwa

Amesema ajenda hiyo isitumike kisiasa kwa kuwa atawavua nguo hadharani.

Pikeni idadi ya kutosha ya vifo ili afurahie aliyewaletea chanjo.
Ila mjue Gwajima mpaka Sasa anaongoza 5_0
 
Back
Top Bottom