#COVID19 Waziri Gwajima is something else! Akimbia kuthibitisha yuko fit baada ya chanjo

#COVID19 Waziri Gwajima is something else! Akimbia kuthibitisha yuko fit baada ya chanjo

Watu wa ajabu sana UNAFIKI ili kulinda matumbo yao unawapa tabu sana matokeo yake wanayumbishwa yumbishwa tu.
tupo katika jamii yenye watu wasioeleweka kimisimamo wala itikadi

matumbo ndio yanaamua leo awe wapi na kesho awe wapi

bila kujali madhara wanayopata wale waliomwamini jana na wakagoma kumwamini leo wakidhani yale ya jana ndio sahihi hata kama siyo
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ndiyo sababu Mkuu nchi yetu haiendelei Mkuu kwa sababu ya hawa WANAFIKI na waongo hata miaka mingine 60 kwa hali hii kutakuwa hakuna lolote lile la maana. Ukimuuliza Mtanzania unajivunia nini katika nchi yako!? Anaishia kung’aa macho.
tupo katika jamii yenye watu wasioeleweka kimisimamo wala itikadi

matumbo ndio yanaamua leo awe wapi na kesho awe wapi

bila kujali madhara wanayopata wale waliomwamini jana na wakagoma kumwamini leo wakidhani yale ya jana ndio sahihi hata kama siyo
 
Aiaee kila siku huwa nnalisema kimoyomoyo, huyu Mama is special. Nadhani ni mtu flani mcheshi, mwenye mizaha flani hivi sio ya kuboa halafu anajua anachokifanya. Kwa kweli yupo safi
Anachamba huku anakuchekea
 
Huwezi ukaamini kuwa huyo ndie huyu aliekuwa akihimiza kutumia Mizizi na tiba za ajabuajabu
View attachment 1872040
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwaweli ... ndio maana wale wachaga wa Rombo ya Kimara wanasema ... "siassa kweli ni m'mafii ... "
 
Chanjo
FB_IMG_1627504223998.jpg
 
Attitude:
th
e orientation of a spacecraft in relation to its direction of motion
 
I like her. She is full of spunk.

SHE has this great character and I think entertainer by nature! Siku anakunywa matangawizi na Dr Mollel nilimkubali!

ILA Pia ni mnafiki wa kutupwa, kwa mfano aje raisi mwingine aseme tujifukize ata Support full kabisa!

Hafai kuwa waziri wa wizara serious Kama hiyo, hapo kwa kweli wamechemka sana sana kabisa!
 
Ni vizuri kwenye serikali kuwa na watu wa namna hii. Wasiwasi wangu ni kama watoto wake wakirithi akili za upande wa kiume. Zikijitokeza tabia za vinasaba za yule tapeli wa kutumoa biblia itakuwa hasara kubwa.
 
Back
Top Bottom