Waziri Gwajima kukomesha ukatili baada ya video ya Mama akimshambulia mtoto kusambaa

Waziri Gwajima kukomesha ukatili baada ya video ya Mama akimshambulia mtoto kusambaa

Sasa Kwan Kuna shida gan hapo? Mbona ameadhibiwa Kawaida sana ? Yaan sku hizi taifa la kiherere sana !!! Wakiachwa mnaanza kua malezi mabaya Aya wakiadhibiwa umbeya Tena!!
Wewe hata ukimpiga wa kwako utashughulikiwa tu, miafrika unyanyasaji ndio mnaona style ya malezi! mnafyatua watoto wengi huku mkiwa na umaskini uliotopea hivyo hasira za ugumu wa maisha mnahamishia kwa watoto
 
Unakuta huyo mama ni single mother anaishi na huyo mtoto Baba hajulikani alipo.
Mama anakamatwa anakwenda jela, malezi ya mtoto inakuaje huku nyuma? Nimejiuliza tu
wanipe mimi nimlee kuliko ateseke hivyo
 
Sasa Kwan Kuna shida gan hapo? Mbona ameadhibiwa Kawaida sana ? Yaan sku hizi taifa la kiherere sana !!! Wakiachwa mnaanza kua malezi mabaya Aya wakiadhibiwa umbeya Tena!!
Wewe nawe ni wa kuchunguzwa sana malezi unayowapa wanao....
 
Mimi nilishataka kuua mtu sababu ya uxenge kama huu, yaan unapiga mtoto kama unaua nyoka?!! Aisee nilipiga haijawahi kutokea, nilikuwa nauwa kabisa.., hadi leo hagusi watoto..
Hakika huu ni uxe.nge mkuu, hakuna lugha nzuri ya kuelezea kitendo cha kikatili kama hicho! hata mm ningekuwa karibu na huyo mama angenitambua vzr..
 
Kweli Mimi kipigo Kama cha huyo mtoto nimechezea Sana na kuzidi.

Sasa zama zile kungekuwepo smartphone za kurekodi wazazi wetu wangeenda jela

Vipigo vilikuwa ni hasira zilizochanganikana na umasikini
Si ndo maana wewe ni mpumbavu. Kosa la wazazi wako hilo
 
wanipe mimi nimlee kuliko ateseke hivyo

Kuna haja ya ustawi wa jamii kuwa na special programmes za kufanyia Ushauri hawa akina mama wa hivi huku mtoto/watoto wakiwa chini ya uangalizi kwenye vituo maalum, wakati mama husika akiwa kwenye training anakuwa na mentor wake, in 6month to 1yr mhusika anaweza kurecover na kuwa na uwezo wa kukaa na mtoto tena.

Hawa wengine wanakuwa na stress za umasikini tu + plus kutelekezwa na baba za watoto, wakipewa counseling wanarudi nakuwa mama bora.
 
Absolutely right! shida kubwa hapo ni hasira zitokanazo na umaskini wa mzazi na mengine ni nyongeza tu, ukimwangalia huyo mtoto kwa haraka haraka ni amekonda, miguu na mikono ni midogo midogo kama fimbo, hiyo ni ishara ya lishe duni na manyanyaso..
 
Njoeni mumkamate na mke wangu maana yeye kumtia adabu ya kutosha mtoto akienda ndivyo sivyo ni sekunde tu na huwa nampongeza sana kwa hilo.

Watoto wamenyooka kama moja,wakati nakua mama yangu alishawahi kunipiga mpaka nikamkana siyo mama yangu akanikamata akaniongezea kipigo na kunifukuza niende kwa ninaedhani ni mama yangu uje kuniambia huyo mtoto hapo amepigwa?ndiyo maana tuna taifa la walamba midomo kwa kuendekeza uzungu
 
wewe pia ni mjinga..kapige wa kwako hivyo, na ukibainika unakamatwa!
Njoo kwangu uone watoto walivyo na heshima.

Sheria ya mtoto imeelekeza kwamba mtoto apewe adhabu yenye kulingana na umri wake.

Sasa wewe unajua nini?
 
Back
Top Bottom