Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Ulitaka kusemaje?Mi na mtoto najua malezi yalivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka kusemaje?Mi na mtoto najua malezi yalivyo
Swali la msingi sana hili 😂Ulitaka kusemaje?
Menta illness ni tatizo kubwa miongoni mwa jamii yetu na linachukuliwa poa tuMental illness ni uhalisia. Kulikuwa na shemeji yangu alikuwa anampiga mtoto hibyo hivyo tena kila siku.
Hatukumuachia kumbe alikuwa na shida kichwani. Hata huyo ana shida kichwani sio bure.
yeye ndiyo waziri halafu anaomba msaada? Kwa nani?Tukio la video ya mtoto akiadhibiwa vikali na mama yake, lililopostiwa na mwanahabari Tweve Devota kupitia mtandao wa X, limezua taharuki mtandaoni. Mama huyo, anayeishi Mbezi Mwisho, Dar es Salaam, anadaiwa kumtesa mtoto wake mara kwa mara.
Dkt. Gwajima D , Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, alijibu kwa haraka kupitia mtandao wa X, akiahidi kuchukua hatua mara moja. Alitoa mwaliko wa ushirikiano kutoka kwa mtoa taarifa ili timu yake ifike eneo hilo haraka na kumsaidia mtoto huyo.
Majibu ya Waziri Dorothy Gwajima yalionyesha uwajibikaji wa dhati wa ofisi yake, akisisitiza kwamba visa vya ukatili kwa watoto haviwezi kuvumiliwa na kwamba hatua stahiki lazima zichukuliwe kwa ushirikiano wa jamii.
Soma, Pia: Waziri Gwajima chukua hatua kwa ukatili huu aliofanywa mtoto shule ya Msingi Kitefu, Halmashauri ya Meru
An illogical take. Africa sio mtoto hapendwi. Bali wazazi masikini Africa hawawezi wala hawajui kulea mtoto. Mostly sababu umasikini uhusiana na akili pungufu. Au low IQ. Na vice-versa.Afrika mtoto hapendwi.
Kama ulifanyiwa ukatili tukupe pole, ila huwezi kuhalalisha ukatili kuwa sahihi kisa ulikatiliwa.., narudia, pole sana.Kweli Mimi kipigo Kama cha huyo mtoto nimechezea Sana na kuzidi.
Sasa zama zile kungekuwepo smartphone za kurekodi wazazi wetu wangeenda jela
Vipigo vilikuwa ni hasira zilizochanganikana na umasikini
Kuna USTAWI WA JAMIIUnakuta huyo mama ni single mother anaishi na huyo mtoto Baba hajulikani alipo.
Mama anakamatwa anakwenda jela, malezi ya mtoto inakuaje huku nyuma? Nimejiuliza tu.
We kusoma between the lines hauwezi ? Umeona nimehalalisha?Kama ulifanyiwa ukatili tukupe pole, ila huwezi kuhalalisha ukatili kuwa sahihi kisa ulikatiliwa.., narudia, pole sana.
Afrika mtoto hapendwi chief, kuanzia shule mtoto anapata Copral punishment halafu anashinda siku nzima bila kula huko shuleni. Unaposema low IQ ya wazazi ndiyo sababu unamaanisha hiyo inawafanya wasionekane kwamba watoto hawapendwi?An illogical take. Africa sio mtoto hapendwi. Bali wazazi masikini Africa hawawezi wala hawajui kulea mtoto. Mostly sababu umasikini uhusiana na akili pungufu. Au low IQ. Na vice-versa.
Hakuna mzazi mwenye uwezo anatreat mtoto wake kama hivi.
Nisingetandikwa enzi zangu…. Misin geliş hapa nilipoUzuri wa shangazi huwa yuko chapu kinoma huyo kashashugulikiwa ondoa shaka
Hapana , nimeona umeharamishaWe kusoma between the lines hauwezi ? Umeona nimehalalisha?
Hapa mkuu .Hapana , nimeona umeharamisha
Wanawake wengi hasa Single mama wanatatizo la akili nimewaona wengi sana codes zao haziruni kabisa burges kama zoteeeUnaweza kukuta mimba yenyewe ilikuwa ya kubakwa akiwa amelewa, hasira zinaishia kwa mtoto
Wale jamaa si wamepigwa jela maisha,sasa ligi kwa aliyewatumaIle imedakiwa Kwa juu yaani nchi ya mihemko hii
Nilimpiga mwanangu miaka 11 iliyopita tangia hapo sijawahi,nikikumbuka naumia sana,sasa hata mama yao alikuwa anatabia Za kuwapiga nilimwambia marufuku,tangu hapo wakiwa likizo wakisumbua ananipigia simu naongea nao wanaelewaWazazi wetu swala malezi linawasumbua wao wanaamini katika vipigo tu.
So sad bravo