BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Ukifanya comparison na tulipotoka ni kawaida sanaKwahiyo wewe unaona hiki kipigo kwa mtoto kama huyu ni cha kawaida?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifanya comparison na tulipotoka ni kawaida sanaKwahiyo wewe unaona hiki kipigo kwa mtoto kama huyu ni cha kawaida?
Wewe ni bweg,e. Kwasababu umetoka kulelewa kwenye damilia ya makatili unaona ni sahihi mtoto mdogo kama huyo kupigwa namna hiyo.Sasa Kwan Kuna shida gan hapo? Mbona ameadhibiwa Kawaida sana ? Yaan sku hizi taifa la kiherere sana !!! Wakiachwa mnaanza kua malezi mabaya Aya wakiadhibiwa umbeya Tena!!
Kweli Mimi kipigo Kama cha huyo mtoto nimechezea Sana na kuzidi.Kweli nyakati zimebadilika wakati tunakuwa tumechezea kichapo kweli ingekuwa wakati zama hizi kumbe wazazi walikuwa wanaenda selo
Wangejazana selo sana.nilikuwa na minywa na maza ukitoka hapo ni manundu.,Kweli nyakati zimebadilika wakati tunakuwa tumechezea kichapo kweli ingekuwa wakati zama hizi kumbe wazazi walikuwa wanaenda selo
Huko ndio kustaarabika tunaenda kuwa kama first world countriesKweli Mimi kipigo Kama cha huyo mtoto nimechezea Sana na kuzidi.
Sasa zama zile kungekuwepo smartphone za kurekodi wazazi wetu wangeenda jela
Vipigo vilikuwa ni hasira zilizochanganikana na umasikini
UKWELI MCHUNGUKweli Mimi kipigo Kama cha huyo mtoto nimechezea Sana na kuzidi.
Sasa zama zile kungekuwepo smartphone za kurekodi wazazi wetu wangeenda jela
Vipigo vilikuwa ni hasira zilizochanganikana na umasikini
Afya ya akili inayotokana na ugumu wa maisha hiyo!
Huko ndio kustaarabika tunaenda kuwa kama first world countries
Wazazi wa zamani walikuwa wanajua kutoa dozi aisee🤣Wangejazana selo sana.nilikuwa na minywa na maza ukitoka hapo ni manundu.,
Tukio la video ya mtoto akiadhibiwa vikali na mama yake, lililopostiwa na mwanahabari Tweve Devota kupitia mtandao wa X, limezua taharuki mtandaoni. Mama huyo, anayeishi Mbezi Mwisho, Dar es Salaam, anadaiwa kumtesa mtoto wake mara kwa mara.
Dkt. Gwajima D , Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, alijibu kwa haraka kupitia mtandao wa X, akiahidi kuchukua hatua mara moja. Alitoa mwaliko wa ushirikiano kutoka kwa mtoa taarifa ili timu yake ifike eneo hilo haraka na kumsaidia mtoto huyo.
Majibu ya Waziri Dorothy Gwajima yalionyesha uwajibikaji wa dhati wa ofisi yake, akisisitiza kwamba visa vya ukatili kwa watoto haviwezi kuvumiliwa na kwamba hatua stahiki lazima zichukuliwe kwa ushirikiano wa jamii.
Soma, Pia: Waziri Gwajima chukua hatua kwa ukatili huu aliofanywa mtoto shule ya Msingi Kitefu, Halmashauri ya Meru
Ipi ni njia mbadala ya kumrekebisha mtoto anapokosea?Ukweli ni kwamba umaskini ni chanzo kingine cha ukatili, Wanawake kazaneni kwenda shule, kazaneni kujishughulisha na biashara mpate vipato vyenu, hata mtu ukiachwa unaweza lea watoto bila hasira. Kuna single mothers wengi tu wanajiweza na wanalea watoto bila tabu.
Kama jamii ya kitanzania ile kampeni ya kumu-empower mwanamke bado iko kwenye 40% Bado sana…..
Wengine zamani tumepigwa zaidi ya hapo... maisha yanaenda kasi sanaKweli nyakati zimebadilika wakati tunakuwa tumechezea kichapo kweli ingekuwa wakati zama hizi kumbe wazazi walikuwa wanaenda selo
Ndio karipoti hiyo video ndio ushahidiSasa huyo mchukua video anashindwaje kuripoti tukio hilo?!
Mi leo nimekubali kuwa mambo yanabadilika wazazi wa zamani walikuwa wanapiga aisee lakini ukifanya tathmini sio kwamba walikuwa hawatupendi ni kutufanya tuwe bora.Wengine zamani tumepigwa zaidi ya hapo... maisha yanaenda kasi sana