Wewe hata ukimpiga wa kwako utashughulikiwa tu, miafrika unyanyasaji ndio mnaona style ya malezi! mnafyatua watoto wengi huku mkiwa na umaskini uliotopea hivyo hasira za ugumu wa maisha mnahamishia kwa watotoSasa Kwan Kuna shida gan hapo? Mbona ameadhibiwa Kawaida sana ? Yaan sku hizi taifa la kiherere sana !!! Wakiachwa mnaanza kua malezi mabaya Aya wakiadhibiwa umbeya Tena!!
wanipe mimi nimlee kuliko ateseke hivyoUnakuta huyo mama ni single mother anaishi na huyo mtoto Baba hajulikani alipo.
Mama anakamatwa anakwenda jela, malezi ya mtoto inakuaje huku nyuma? Nimejiuliza tu
Huyo mtoto ukimuangalia kwa haraka haraka amekonda, ishara ya maisha ya hofu na wasiwasiImagine kila dakika kipigo mpaka mtoto anakosa kujiamini.
Wewe nawe ni wa kuchunguzwa sana malezi unayowapa wanao....Sasa Kwan Kuna shida gan hapo? Mbona ameadhibiwa Kawaida sana ? Yaan sku hizi taifa la kiherere sana !!! Wakiachwa mnaanza kua malezi mabaya Aya wakiadhibiwa umbeya Tena!!
Hakika huu ni uxe.nge mkuu, hakuna lugha nzuri ya kuelezea kitendo cha kikatili kama hicho! hata mm ningekuwa karibu na huyo mama angenitambua vzr..Mimi nilishataka kuua mtu sababu ya uxenge kama huu, yaan unapiga mtoto kama unaua nyoka?!! Aisee nilipiga haijawahi kutokea, nilikuwa nauwa kabisa.., hadi leo hagusi watoto..
wewe pia ni mjinga..kapige wa kwako hivyo, na ukibainika unakamatwa!Huyo mtoto umepewa adhabu sahihi.
Sijui mnatetea ujinga gani.
Kwani hamkuwahi kuchapwa au unafiki tu umewajaa?
Si ndo maana wewe ni mpumbavu. Kosa la wazazi wako hiloKweli Mimi kipigo Kama cha huyo mtoto nimechezea Sana na kuzidi.
Sasa zama zile kungekuwepo smartphone za kurekodi wazazi wetu wangeenda jela
Vipigo vilikuwa ni hasira zilizochanganikana na umasikini
wanipe mimi nimlee kuliko ateseke hivyo
Absolutely right! shida kubwa hapo ni hasira zitokanazo na umaskini wa mzazi na mengine ni nyongeza tu, ukimwangalia huyo mtoto kwa haraka haraka ni amekonda, miguu na mikono ni midogo midogo kama fimbo, hiyo ni ishara ya lishe duni na manyanyaso..Kuna haja ya ustawi wa jamii kuwa na special programmes za kufanyia Ushauri hawa akina mama wa hivi huku mtoto/watoto wakiwa chini ya uangalizi kwenye vituo maalum, wakati mama husika akiwa kwenye training anakuwa na mentor wake, in 6month to 1yr mhusika anaweza kurecover na kuwa na uwezo wa kukaa na mtoto tena.
Hawa wengine wanakuwa na stress za umasikini tu + plus kutelekezwa na baba za watoto, wakipewa counseling wanarudi nakuwa mama bora.
Njoo kwangu uone watoto walivyo na heshima.wewe pia ni mjinga..kapige wa kwako hivyo, na ukibainika unakamatwa!
HahahaUnaweza kukuta mimba yenyewe ilikuwa ya kubakwa akiwa amelewa, hasira zinaishia kwa mtoto