Kweli lakin chanjo zinaupa mwili nguvu zaid za kupigana na corona,ivo unaweza ukapata lakin usiumwe au ukaumwa kidogo.Chanjo haizuii kupata corona, Wala haizuii usife kwa corona. Hilo unapaswa kulifahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli lakin chanjo zinaupa mwili nguvu zaid za kupigana na corona,ivo unaweza ukapata lakin usiumwe au ukaumwa kidogo.Chanjo haizuii kupata corona, Wala haizuii usife kwa corona. Hilo unapaswa kulifahamu
Hoja yako hapo haijajaelewekaKhalafu Marekani waipuuze kwa asilimia 38 ya walio chanjwa. Ujanja ujanja wa kutumia jargons hausaidii. Mungu wa mbinguni atuepushie mbali na maambukizi baada ya kuchanjwa.
Hoja yako hapo haijajaeleweka
Hawaiamini wakati ndio aliyochanjwa joe biden,rais wao?Wakati akitoa hotuba ya uzinduzi wa chanjo ya Covid 19 aina ya Johnson and Johnson. Waziri wa Afya, Dr. Dorothy Gwajima amesema kuwa Serikali ya Marekani imetumia chanjo hiyo kuwachanja raia milioni 8 wa Marekani.
Sasa ukiangalia population ya USA ni watu 332,915,073.
Ambapo hao milioni 8 ni sawa na 2.4% ya raia wa Marekani wote.
Kwa mtazamo wangu hii chanjo hata Wamarekani wenyewe hawaiamini sana na ndio maana idadi ya watu wake waliochanjwa ni ndogo sana.
Ningependa kujua ni chanjo gani ambayo USA wamechanja asilimia kubwa ya raia wake? Je, kwanini wasingetupatia hiyo?
Sisi tukiweza kuchanja hii yote waliyotupa tutakuwa tumechanja zaidi ya asilimia 6 ya watanzania. Lakini kwao wamekomea tu 2.4%. Hapa kuna mambo ya kujiuliza na kujiridhisha.
Mwenyekiti wenu alisema chanjo iwe lazima.Sometimes in life, it worth to be sceptical when the rest or majority are optimistic, and to be optimistic when the rest or majority are sceptical/pessimistic.
Gwajima anaepinga chanjo anaweza kuja kuwa sahihi siku moja.
Mimi binafsi kwa sasa sijui nisimame upande gani, ila muda ndio utanipa jibu
Wewe unaishi bongo??Experiment ya wapi? millions wameshachanjwa kutumia hiyo chanjo, na mmeletewa za Johnson kwa sababu zile za moderna au Pfizer itakuwa changamoto kutumika Africa maana zinahitaji kuwekwa kwenye baridi 2 - 5 centigrade kwa siku tano tuu la sivyo ni ya kutupa, pigeni chanjo nyie acheni conspiracy za kina Gwajima na ngano zao za kutunga , US at the peak walikuwa wanakufa watu 6000 kwa siku leo wanaokufa ni chini ya 500 kwa siku baada ya chanjo, na wanaokufa 99% hawakupiga chanjo, ni hiari yenu na corona bongo inaua vibaya sana ila tatizo data hazitoki kwa ajiri ya umaskini wetu, piga chanjo uwe salama especially kama umri mkubwa na afya sio nzuri
Pfizer -70°C storage nchi zetu hizi ni changamoto kuwa na hizo freezer kwenye kila kituo cha chanjoHizo za Pfizer na Moderna hatuna uwezo kuzitunza. Zinahitaji mnyororo wa ubaridi (cold chain) wa nyuzi joto minus 90 degrees centigrade (-90 degree C). Mnyororo wetu wa ubaridi wa chanjo hauzidi nyuzi joto minus 4 degrees centigrade ambayo ndiyo ulioko kwenye nchi zote duniani. Huu wa minus 90 degrees ni special, haukuwapo kabla ya ujio wa chanjo za Pfizer na Moderna.
Chanjo za Johnson & Johnson, AstraZenecca na Sinovac ya China zinatumia mnyororo wa ubaridi huu huu tulionao kwa chanjo zingine ambao uko mpaka vijijini kwenye kila zahanati na mobile services zake.
HAKUNA niliposema nimelazimishwa bali nilikuwa naweka kumbukumbu sawa
Simama hapohapo. Ukweli ni kwamba kwa sasa hata aliyechanjwa potentially yupo kwenye risk ileile ya kupata corona sawa na ambaye hajachanjwa
Ungeenda kwa walinzi wa Raisa uwaambie wakupe kile kichupa cha chanjo ukifanyie chemical analysis mwenyewe kama Chanjo yenyewe kweli.Wewe unauhakika gani ni chanjo wamechanjwa.?Uhiari hauwezi kuwa 100% hata siku moja. Geuzeni mseme kwa viongozi na watumishi wote wa serikali ni lazima. Ndio tutaamini kilichochwanjwa leo ni JJ.
Mchanjaji mwenyewe hajavaa gloves. Hiyo ni medical practice gani? Hilo tu la kutokuvaa gloves lakini kavaa barakoa linaongea mengi.
Vaccine efficacy ni tofauti na vaccination coverage. Wewe unaongelea vaccination coverage - yaani asilimia ya watu wote marekani waliopata chanjo.
Mimi ninaongelea vaccine efficacy - yaani hiyo chanjo uliyopatiwa uwezo wake wa kukukinga na huo ugonjwa (yaani mwili wako kujenga kinga aka immunity dhidi ya gonjwa hilo). Tukisema efficacy ya chanjo ya J&J ni 60% tunamaanisha kati ya watu 100 waliopewa hiyo chanjo ni watu 60 tu ndiyo miili yao itapata kinga (immunity) dhidi ya huo ugonjwa. Hao wengine 40 waliobaki hakuna kitakachotokea - yaani ni sawa na wale ambao hawakichanja, hiyo vaccination certificate yao haina maana ye yote.
Pfizer.Wakati akitoa hotuba ya uzinduzi wa chanjo ya Covid 19 aina ya Johnson and Johnson. Waziri wa Afya, Dr. Dorothy Gwajima amesema kuwa Serikali ya Marekani imetumia chanjo hiyo kuwachanja raia milioni 8 wa Marekani.
Sasa ukiangalia population ya USA ni watu 332,915,073.
Ambapo hao milioni 8 ni sawa na 2.4% ya raia wa Marekani wote.
Kwa mtazamo wangu hii chanjo hata Wamarekani wenyewe hawaiamini sana na ndio maana idadi ya watu wake waliochanjwa ni ndogo sana.
Ningependa kujua ni chanjo gani ambayo USA wamechanja asilimia kubwa ya raia wake? Je, kwanini wasingetupatia hiyo?
Sisi tukiweza kuchanja hii yote waliyotupa tutakuwa tumechanja zaidi ya asilimia 6 ya watanzania. Lakini kwao wamekomea tu 2.4%. Hapa kuna mambo ya kujiuliza na kujiridhisha.
Tatizo wanadai wakishachanja wao wanakuwa salama baada ya hapo yy anakuwa na uwezo mkubwa wa kuambukiza kirusi kingine ambach ni variant wakali mwisho wasiku kinazunguka na kujaa tn kuambukiza waliochanjwa kwa maana hy tutalazimika kuchanjwa kilaa mara maana kirusi kinajibadili km dunia nafikiri ingegekuwa na chanjo mojaa tu kudhibiti hz variant sasa tutawezajee kudhibiti kama kilaa siku zinaibuka vipyaUshauri kwa akina Doubting Tom kama wewe: subiri na kuwafuatilia wale waliodungwa hizo sindano leo hapo ikulu. Itakapotokea hata mmoja wao tu akaganda damu kwenye ubongo wake (Mungu apishe mbali) basi wewe kula nduki na wengi kwa kweli tutakufuata! Ila tatizo la akina Doubting Tom hilo lisipotokea bado watasema hizo chanjo walizopatiwa pale ikulu zilikuwa feki (sterile water for injection) za maigizo.
HIVI 1M NI ASILIMIA NGAPI YA 60MWakati akitoa hotuba ya uzinduzi wa chanjo ya Covid 19 aina ya Johnson and Johnson. Waziri wa Afya, Dr. Dorothy Gwajima amesema kuwa Serikali ya Marekani imetumia chanjo hiyo kuwachanja raia milioni 8 wa Marekani.
Sasa ukiangalia population ya USA ni watu 332,915,073.
Ambapo hao milioni 8 ni sawa na 2.4% ya raia wa Marekani wote.
Kwa mtazamo wangu hii chanjo hata Wamarekani wenyewe hawaiamini sana na ndio maana idadi ya watu wake waliochanjwa ni ndogo sana.
Ningependa kujua ni chanjo gani ambayo USA wamechanja asilimia kubwa ya raia wake? Je, kwanini wasingetupatia hiyo?
Sisi tukiweza kuchanja hii yote waliyotupa tutakuwa tumechanja zaidi ya asilimia 6 ya watanzania. Lakini kwao wamekomea tu 2.4%. Hapa kuna mambo ya kujiuliza na kujiridhisha.
0.733333333 |
Huyu mama namuona Kama comedian vile,hachukulii Mambo serious,amenishangaza Sana Jana,baada ya kuchanjwa tu aiaanza kurukaruka huku akijua side effects za dawa lolote laweza tokea.Wakati akitoa hotuba ya uzinduzi wa chanjo ya Covid 19 aina ya Johnson and Johnson. Waziri wa Afya, Dr. Dorothy Gwajima amesema kuwa Serikali ya Marekani imetumia chanjo hiyo kuwachanja raia milioni 8 wa Marekani.
Sasa ukiangalia population ya USA ni watu 332,915,073.
Ambapo hao milioni 8 ni sawa na 2.4% ya raia wa Marekani wote.
Kwa mtazamo wangu hii chanjo hata Wamarekani wenyewe hawaiamini sana na ndio maana idadi ya watu wake waliochanjwa ni ndogo sana.
Ningependa kujua ni chanjo gani ambayo USA wamechanja asilimia kubwa ya raia wake? Je, kwanini wasingetupatia hiyo?
Sisi tukiweza kuchanja hii yote waliyotupa tutakuwa tumechanja zaidi ya asilimia 6 ya watanzania. Lakini kwao wamekomea tu 2.4%. Hapa kuna mambo ya kujiuliza na kujiridhisha.
Ungeenda kwa walinzi wa Raisa uwaambie wakupe kile kichupa cha chanjo ukifanyie chemical analysis mwenyewe kama Chanjo yenyewe kweli.View attachment 1872408