Waziri Gwajima: Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote kufikishwa bungeni hivi karibuni!

Waziri wa afya mh Gwajima amesema muswada wa Bima ya afya kwa wote utawasilishwa bungeni hivi karibuni.

Waziri Gwajima amesema baada ya sheria ya Bima ya afya kupitishwa basi wananchi wote wataingizwa katika utaratibu huo na hivyo kuwapa uhakika wa tiba.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!

=====

Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesema Wizara hiyo inakamilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa wote ambao utawasilishwa Bungeni

Ameeleza, hatua hiyo itachangia kwa kiasi kikubwa kumaliza matatizo ya Wananchi wengi wanaoshindwa kupata huduma stahiki mahali popote

Kuhusu upotevu wa Dawa Vituoni, Dkt. Gwajima amesema ukaguzi unafanyika na maamuzi yatachukuliwa kwa wanaopoteza Dawa na kuhujumu mapato
Kwaiyo kama mtu utakua hujakata bima hautaweza kupata matibabu?
 
Kusema tu watapeleka mswada wa bima kwa kila raia haitoshi. Na kila raia kuwa na bima tu haitoshi. Tusubiri tuone masharti ya hiyo bima na jinsi hospital zitakavyo-respond. Kwa kifupi tusubiri tuone kama kutakuwa na unafuu wowote kulinganisha na sasa. Nasema hivyo kwa sababu kuna member mmoja hapa alisema serikali yetu ina tabia ya kushughulikia matatizo kwa kutengengeneza matatizo. Nimekunukuu tu ila sijapingana na ulichosema. Nimejaribu kukazia.
Nimekuelewa vizuri point yako.

Lets wait lakini kama ujuavyo utekelezaji huwa ndio shida. Wacha tuone
 
Waziri wa afya mh Gwajima amesema muswada wa Bima ya afya kwa wote utawasilishwa bungeni hivi karibuni.

Waziri Gwajima amesema baada ya sheria ya Bima ya afya kupitishwa basi wananchi wote wataingizwa katika utaratibu huo na hivyo kuwapa uhakika wa tiba.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!

=====

Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesema Wizara hiyo inakamilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa wote ambao utawasilishwa Bungeni

Ameeleza, hatua hiyo itachangia kwa kiasi kikubwa kumaliza matatizo ya Wananchi wengi wanaoshindwa kupata huduma stahiki mahali popote

Kuhusu upotevu wa Dawa Vituoni, Dkt. Gwajima amesema ukaguzi unafanyika na maamuzi yatachukuliwa kwa wanaopoteza Dawa na kuhujumu mapato

!
!
Hauna Maana Kama Kutakuwa Na Madaraja Ya Kuhudumiwa Kulingana Na Ulivyochangia Kama Ilivyo Sasa.
 
Back
Top Bottom