#COVID19 Waziri Gwajima: Viongozi wa Serikali wasiochanjwa waachie ngazi

Kumbe kuna watu wamegoma kupokea chanjo 😄😃😁,kila tulikuwa tunaambiwa watu wengi wanapokea chanjo, nilikuwa nawaambia corona hii ya kutafuta kwa tochi...
Za kunyapia nyapia ni kwamba hakuna cha mutation wala baba yake na mutation, kirusi kinaendelea kukarabatiwa maabara na kuachiwa kikiwa na nguvu mpya........wacha tuendelee kuhesabu mawimbi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbowe aliwahi kusema tena kwa jazba kuwa, Serikali ilete chanjo na watu wachanjwe kwa lazima....Huenda sasa tuko kwenye utekelezaji. Kila kiongozi anafanya lake kama kwamba hatuna kiongozi mkuu??. 😳
 
Huyu waziri hana impact yoyote kwenye wizara yake... sasa tamko kubwa kama ilo ataweza kulimudu kweli...
Anyway nchi inaendeshwa ki_ miemuko na ... dramatically nyingi kuliko uhalisia wenyewe..
 
Huyu mama hajiamini ..siyo kauli ya kutolewa msomi Kama huyu ...anastahili kupisha uchunguzi dhidi ya matamshi dhidi yake. Ila Hakuna mtu ambaye alishapambana na Mch Josephath Gwajima akabaki salama
 
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu.

Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya corona....
Yeye ndie aachie ngazi kwa kutuletea mtafaruku, kwa sheria zipi za ajira zinazosema asiyechanjwa aachie ngazi kwa vile tu raisi kaamua kwa hiari yake mwenyewe kuchanjwa?

Viongozi waache ngonjera za kujikomba kwa waliowateua kisa anatetea tumbo lake, nchi hii ni yetu sote na hao waliopo kwenye ajira nao ni watu kawa wao na wanahaki zao,pia nao wana familia zao,huu ni UPUUZI.
 
Aanze yeye kujiuzuru ,hii nchi sio yake peke yake,,yeye ni nani bana.
 
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu.

Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya corona...
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mkuu usije ambukiza wengine waliochanja.
Wewe haki yako ni kukaa nyumbani ukijisikilizia.
 
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu.

Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya corona...
Gwajike tukubali si riziki!! She is just another liability to our country!!
 
Mkuu usije ambukiza wengine waliochanja.
Wewe haki yako ni kukaa nyumbani ukijisikilizia

Mkuu usije ambukiza wengine waliochanja.
Wewe haki yako ni kukaa nyumbani ukijisikilizia.
Mkuu kwa haraka haraka inaonekana umeshachanja hizo sumu.. Simple Logic.. unajisikiaje kuambiwa kimetoka kirusi kipya cha nne cha Omicron na chanjo za zamani hazisaidii!?

Je, vikiendelea kutoka virusi vipya kila mwaka utaendelea kuchoma hizo sumu hadi lini!?.. na mbaya zaidi kurudi nyuma huwezi inabidi uendelee kuungana na wajinga wote duniani walioamua kukabidhi immunity system zao kwa wazungu.

Juzi kuna ndugu yangu nilimwambia kwa jinsi virusi vinavyozidi kuja vipya kila mwisho wa mwaka kuna wakati ambao hatujawahi kupokea chanjo hata moja tutaanza kuonewa wivu..
 
Mkuu kwa haraka haraka inaonekana umeshachanja hizo sumu.. Simple Logic.. unajisikiaje kuambiwa kimetoka kirusi kipya cha nne cha Omicron na chanjo za zamani hazisaidii!?...
Siyo siri nimechanja siku nyingi.

Lakini vile vile ujue Imicron ni kirusi kinachoenea kwa kasi kubwa lakini hakina nadhara makubwa kama kirusi cha Cvid-Delta.

Chanja kujihami.
 
Chanjo haizuii kirusi inaongeza kusambaa kirusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…