#COVID19 Waziri Gwajima: Viongozi wa Serikali wasiochanjwa waachie ngazi

Very simple
Pale stendi ya mbezi weka askari wahakiki cheti cha chanjo,
Asienacho achanje hapohapo au basi alilokuja nalo ndio hilo hilo arudi nalo alipotoka,
Mwezi tu watachanja wote
Nani asiyetaka kuja mjini🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyo mama me kunasiku nilimsikia akisema kua baada ya yeye kuchanjwa, mumewe alitest mitambo akakuta iko poa.

Tangu hapo huyo mama me namchukulia tofauti na mnavyo mchukulia wenzangu.
Mi nimechanja!
Natamani waziri atesti mitambo yangu, itavuka viwango.
 
Hela ishaletwa ya corona halafu watu hawachanjwi, walioleta pesa wanatazamia kuona lengo lao linatimia. Kipindi kibaya sana hiki katika historia ya dunia.
 
Hela ishaletwa ya corona halafu watu hawachanjwi, walioleta pesa wanatazamia kuona lengo lao linatimia. Kipindi kibaya sana hiki katika historia ya dunia.
Good argument.
Lakini unaweza ku argue vile vile kuwa wanaokufa kwa covid wanakwepa kulipa kodi.
 
Tena kama chadema wangeliitikia wito hata nusu chanjo zilizopo Nchini zingelikuwa zimeisha,tusingelisikia matamko haya ya kijinga 😀😄😃😃 Chadema tusaidieni kutekereza amri ya mwenyekiti wenu,kwamba kila mwanachadema kuchanjwa ni lazima,mzigo unadodea store, serikali ya Mama pendwa isije pata hasara.
 
Hili ni suala la muda tu kuchanjwa ni lazma na kla mtu lazma atachanja tunasahau juz tu tumetoka kupokea 1.5 trillion kwa ajiri ya Covid , hii inamaanisha tumekubaliana na masharti yote ya kupambana na covid ndo maana tukapewa iyo pesa
Ukatae ukubali kuchanja tutachanjwa tu na akuna anaeweza pingana na utawala ata bibli inasema
 
Utachanja na wenzako wewe msukuma, mimi na wenzangu hatuchanji! Hatusafiri nje ya nchi, hatuji hospitali pia. Ninyi zuieni kila kitu hadi kutumia cash hadi uwe na chanjo, hatuchanji, Mbona kila kitu tunajua kinachokuja!!!
Mnaopenda mtereko chanjeni
Better to die being free, than living permanently slave to the tomb
 
Mliochanja mnatuonea wivu sana tusiotaka hizi chanjo zenu
 
Mi nimechanja!
Natamani waziri atesti mitambo yangu, itavuka viwango.
Halafu Dorotea ana kamavi kametuna akiwa naked utampenda sema tu sura ya kinyiramba, ana kambunye kadogo kenye utelezi mwingi kama kamasi na kaharufu fulani kwa mbaali.!!!
 
Duuh! Mbona rais alisema kuwa NI HIARI? Viongozi hawana haki ya kutumia hiyo hiari?

Huyu waziri akiambiwa kuwa kauli yake ni NONSENSE atalalamika?
Waziri wa kuokoteleza huyu,sijui mamlaka za uteuzi zilimtoa wapi,ana mihemko Sana na uwaziri wàke utadhani akitolewa hapo hakuna mtanzania kuziba nafasi yake.

Nonsense minister!!!
 
Huo ndo ukweli,harafu huyu mama sidhani Kama atakuwemo kwenye cabinet ijayo,she is unfit and useless minister!!
 

Gwajigirl yamekuwa hayo tenaaaa,mmmmm mwaka huu uishe haraka hee!
 
Watalii mkuje kuaangalia viumbe wa ajabu
 
Kichwa kimepata moto tena.

Safari hii atoboi, ataachia ngazi yeye.

Wewe subiri chama cha kijani na fitna (CCM) waanze choko choko.
Subiri Kile kitengo cha propaganda na unyambilisii kianze kazi,hatarudi huyuuuuu
 
Duuh! Mbona rais alisema kuwa NI HIARI? Viongozi hawana haki ya kutumia hiyo hiari?

Huyu waziri akiambiwa kuwa kauli yake ni NONSENSE atalalamika?
Hii Inaitwa Kick Ya Kufunga Mwaka 2021 Aliyoitoa Waziri
 
Aisee kweli..hawa CDM vipi hawajitokezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…