Waziri Gwajima: Wajasiriamali wanawake na vijana changamkieni fursa za IMBEJU

Waziri Gwajima: Wajasiriamali wanawake na vijana changamkieni fursa za IMBEJU

Natamani mawaziri wote waingie kwa majina yao wazi wazi hapa JF ili wawe wanajibu hoja zinazohusiana na shughuli zao. Badala ya kupita kutuchora na kuingia kwa ID za mchongo kama FaizaFoxy.
 
Tushikamane sasa tukipata mtu mmoja Kila mtaa akasema mimi hapa natoa sauti yangu kwa ajili ya kuamsha ari ya jamii na kuielewesha kile najua, halafu akapewa cha kusema na maafisa wetu wa Maendeleo ya Jamii na ustawi wa jamii, hakika tutasogeza mtandao wa sauti mtaa kwa mtaa kwa haraka. Maana wako wengine mhhh redio wanasikiliza vipindi tofauti na tv wanaangalia vipindi tofauti na magazeti hawasomi na online wako kurasa tofauti hivyo, mkakati wa mtu kwa mtu mtaa kwa mtaa utasaidia kufikia wote wote.... [emoji1241][emoji1666] Wengi wabaki pale walipo Sababu ni taarifa tu[emoji26][emoji26][emoji26]
Asante sana, pia ni program nzuri yenye tija, nina swali moja nahitaji msaada. “ Hivi kuna uwezekano wa kufungua kikundi ambacho wanachama wake wakawa hawatoki katika kata moja ila wapo ndani ya wilaya moja?”
 
Back
Top Bottom