Tushikamane sasa tukipata mtu mmoja Kila mtaa akasema mimi hapa natoa sauti yangu kwa ajili ya kuamsha ari ya jamii na kuielewesha kile najua, halafu akapewa cha kusema na maafisa wetu wa Maendeleo ya Jamii na ustawi wa jamii, hakika tutasogeza mtandao wa sauti mtaa kwa mtaa kwa haraka. Maana wako wengine mhhh redio wanasikiliza vipindi tofauti na tv wanaangalia vipindi tofauti na magazeti hawasomi na online wako kurasa tofauti hivyo, mkakati wa mtu kwa mtu mtaa kwa mtaa utasaidia kufikia wote wote.... [emoji1241][emoji1666] Wengi wabaki pale walipo Sababu ni taarifa tu[emoji26][emoji26][emoji26]