kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Azeni na walimu wakiume
mana kama shule zakata mabint wanaendea haki

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upate msaada haraka, vingenevyo kama nilivyosema hapo juu utakuwa disaster kubwa kama mzazi.Mkuu una shida mahali fulani...
Yaani kama upo serious kutetea hili una matatizo wewe...
Kitendo cha kufukuzwa tuu ni kusaidiwa kwenyewe huko...
Kufukuzwa ni hatua ya mwisho kabisa, huku mwanzo atapewa dhabu nyinginr kama ulivyosema lakini pia ni muhimu watoto hawa kufundishwa matumizi salama ya vifaa hivi, maana siyo porn tu hata trafficking zinafanyika huko na moja ya kundi linalokuwa targeted sana ni watotoIlipaswa mtu akikamatwa na simu bila kujali thamani yake inataifishwa moja kwa moja bila kurudishiwa na kupewa onyo kali,
Na endapo mtu akikamatwa na simu na tena basi ndio afukuzwe
Mkuu mimi sina strong point kutetea hili suala ila kiufupi hatua ya kufukuzwa hao watoto shule watu hawajakurupuka..Upate msaada haraka, vingenevyo kama nilivyosema hapo juu utakuwa disaster kubwa kama mzazi.
Mtoto akinyea mkono huukati, unaosha, unamsafisha na kumuweka vizuri unaendelea na kazi nyingine.
Kama hivyo ndivyo ulikuzwa, badili hilo kwa watoto wako usije kuendeleza disaster nyingine
Huna strong point na bado unajitetea😹😹😹, mkuu pata msaada wa haraka... unakuwa kama hujapita shule na hili ndio mara ya kwanza kulisikia. Wanahitaji msaada, wapewe adhabu ya kuelewa walichofanya ni kosa, lakini wasaidie kuelewa ukubwa wa tatizo hiliMkuu mimi sina strong point kutetea hili suala ila kiufupi hatua ya kufukuzwa hao watoto shule watu hawajakurupuka..
Nadhani hapo kwenye red bold ndiyo nchi inatakiwa iweke mkazo, kuenrol watoto wengi kwenda secondary wakati quality ya elimu ya msingi ni tatizo, hapo unakuwa hujafanya kitu. Elimu yetu ni mbovu kwanzia kwenye shule ya msingi, ukichunguza vizuri unaweza kukuta wanafunzi wengi wa kidato cha kwanza ukiwapa mtihani standard wa darasa la 5 wanafeli. Ni bora waboreshe elimu ya msingi na mchujo ufanyike wa maana kwenda secondary, the rest wapelekwe vocational trainingsMtakapo fanya shule kuwa hiari na sio jambo la lazima kwa watoto mtakuwa mmesign mkataba wa milele wa kuwa wa mwisho kwenye kila nyanja. Tatizo namba moja la hii nchi ni ujinga. Ujinga unaweza kuondoloewa kwa watu kupata elimu bora basi. Short of that hii nchi itaendelea kuwa ya mwisho kwenye kila nyanja, uelewa wa raia wa kawaida baina ya mkenya/mnigeria na mtanzania ni mbingu na ardhi sababu wabongo hawana msingi imara wa elimu. Hii imefanya wabongo kuwa inferior wanapokuwa na wenzao wa nje na kushindwa ku compete globally.
Mzizi hamjaona kwani mpk sahviNi kwasababu siyo mtoto wako ndio maana, akiwa wako utatafuta njia za kumsaidia kuhakikisha anarudi kwenye mstari.... badala ya kuwashukia watoto inabidi tuangalie mzizi wa tatizo na kuanzia hapo
Kwa hiyo ww kama ulikuwa muhuni shuleni basi unadhani na wengine walikuwa wahuni kama ww?Huna strong point na bado unajitetea😹😹😹, mkuu pata msaada wa haraka... unakuwa kama hujapita shule na hili ndio mara ya kwanza kulisikia. Wanahitaji msaada, wapewe adhabu ya kuelewa walichofanya ni kosa, lakini wasaidie kuelewa ukubwa wa tatizo hili
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Sawa sawa ngoja tuone...Huna strong point na bado unajitetea😹😹😹, mkuu pata msaada wa haraka... unakuwa kama hujapita shule na hili ndio mara ya kwanza kulisikia. Wanahitaji msaada, wapewe adhabu ya kuelewa walichofanya ni kosa, lakini wasaidie kuelewa ukubwa wa tatizo hili
Thank you time keeper, thank you chairman.... i am here to support the opposer side.😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Sawa sawa ngoja tuone...
thank you but education is better than money i sapport due to following point BICHWA KOMWE -
Jinga sana wewe 😂😂😂🙌🙌🙌Thank you time keeper, thank you chairman.... i am here to support the opposer side.
Video Iko wapi,tuone hayo maadili yanavovunjwa?Waziri Dkt. Gwajima D salam,
Moja ya tukio kubwa wiki hii ni suala la wanafunzi zaidi 100 kukutwa na simu shuleni na baadhi yao kufukuzwa baada ya kupiga picha za utupu na picha hizo kusambaa.
Katika kushughulika na suala hili busara inahitajika zaidi kuliko kukurupuka. Kwanza tuelewe hawa na watoto na wapo katika hatua ya ukuaji, na katika hatua mengi hutokea ikiwemo kufuata mikumbo na kujaribu mambo mbalimbali kutokana na vichocheo vya miili yao pamoja na shauku ya kutaka kujua na kujaribu mambo mbalimbali.
Kwa tulipita na kuonja shule za bweni hata kidogo tunajua mambo za simu shuleni, na siyo kwamba kuna mambo ya maana yanafanyika mengi ni kwaajili ya kupiga picha, kuwasiliana na viboifrendi, kuonesha kwamba na wewe una simu, nk. Pamoja na sheria kali shuleni wanafunzi watapata njia tu ya kufikisha simu shuleni na hii si kwa wote wavulana na wasichana.
Pia soma:
Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza
Inapotokea suala kama hili imefikia mpaka wamejipiga picha na kusambaza, ndio wapewe adhabu lakini iwe ya kuwajenga. Wanatakiwa kupewa elimu kwa udogo wao huo huo waelewe kwanza kufuata utaratibu wa kutopeleka simu shuleni, lakini pia wafundishwe matumizi salama ya simu.
Ifanyike open discussion waelewe mtandaoni kuna mambo mengi, lakini unatakiwa kutumia njia hii, lakini pia waelezwe athari ya kupiga picha hizo na kuziweka mtandaoni, waelewe mtandao hausahau na jinsi inavyoweza kuwaharibia mbeleni, na hili siyo tu kuathiri kwao bali hata kwa wazazi/walezi wao, familia na hata inavyoweza kuwaathiri wenzao.
Lakini pia hili lisiishie tu kwao, hata wazazi wa watoto hawa wapate elimu hiyo pia (huko mbeleni unaweza kutengeza program zinazowakutaisha wazazi na walezi kwenye masuala ya matumizi salama ya digitali).
Wamefukuzwa shule jua tu na huko nyumani moto utaenda kuwaka na mzazi anaweza hata kuua mtoto kwa kipigo. Naomba Waziri Dkt. Gwajima D uende na jambo hili kwa busara sana.
Pia kuna baadhi ya page kwenye mitandao ya kijamii wameweka picha za wanafunzi hawa, umetagiwa kwenye baadhi, picha hizo zinatakiwa kuondolewa, ni kuendeleza udhalilishaji kwa watoto hawa na kwenda kinyume pia na sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi na haki za watoto.
Waziri Gwajima ametoa update hapa >> Waziri Dorothy Gwajima: Wanafunzi waliojirekodi picha za utupu na kusambaza kurekebishwa tabia na kurudi shule
Kuwakufuza 'was not right judgement'. Wailitakiwa waelekezwe tu kwamba kufanya hivyo si vizuri, lakini kuwafukuza ni kuharibu future yao. Sasa picha za ngongo na kuharibu future ya mtu wapi na wapi? Ningeelewa kama ni suspension ya muda ili baadaye waweze kuendelea tena, lakini kama it is for good, ni wrong!Waziri Dkt. Gwajima D salam,
Moja ya tukio kubwa wiki hii ni suala la wanafunzi zaidi 100 kukutwa na simu shuleni na baadhi yao kufukuzwa baada ya kupiga picha za utupu na picha hizo kusambaa.
Katika kushughulika na suala hili busara inahitajika zaidi kuliko kukurupuka. Kwanza tuelewe hawa na watoto na wapo katika hatua ya ukuaji, na katika hatua mengi hutokea ikiwemo kufuata mikumbo na kujaribu mambo mbalimbali kutokana na vichocheo vya miili yao pamoja na shauku ya kutaka kujua na kujaribu mambo mbalimbali.
Kwa tulipita na kuonja shule za bweni hata kidogo tunajua mambo za simu shuleni, na siyo kwamba kuna mambo ya maana yanafanyika mengi ni kwaajili ya kupiga picha, kuwasiliana na viboifrendi, kuonesha kwamba na wewe una simu, nk. Pamoja na sheria kali shuleni wanafunzi watapata njia tu ya kufikisha simu shuleni na hii si kwa wote wavulana na wasichana.
Pia soma:
Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza
Inapotokea suala kama hili imefikia mpaka wamejipiga picha na kusambaza, ndio wapewe adhabu lakini iwe ya kuwajenga. Wanatakiwa kupewa elimu kwa udogo wao huo huo waelewe kwanza kufuata utaratibu wa kutopeleka simu shuleni, lakini pia wafundishwe matumizi salama ya simu.
Ifanyike open discussion waelewe mtandaoni kuna mambo mengi, lakini unatakiwa kutumia njia hii, lakini pia waelezwe athari ya kupiga picha hizo na kuziweka mtandaoni, waelewe mtandao hausahau na jinsi inavyoweza kuwaharibia mbeleni, na hili siyo tu kuathiri kwao bali hata kwa wazazi/walezi wao, familia na hata inavyoweza kuwaathiri wenzao.
Lakini pia hili lisiishie tu kwao, hata wazazi wa watoto hawa wapate elimu hiyo pia (huko mbeleni unaweza kutengeza program zinazowakutaisha wazazi na walezi kwenye masuala ya matumizi salama ya digitali).
Wamefukuzwa shule jua tu na huko nyumani moto utaenda kuwaka na mzazi anaweza hata kuua mtoto kwa kipigo. Naomba Waziri Dkt. Gwajima D uende na jambo hili kwa busara sana.
Pia kuna baadhi ya page kwenye mitandao ya kijamii wameweka picha za wanafunzi hawa, umetagiwa kwenye baadhi, picha hizo zinatakiwa kuondolewa, ni kuendeleza udhalilishaji kwa watoto hawa na kwenda kinyume pia na sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi na haki za watoto.
Waziri Gwajima ametoa update hapa >> Waziri Dorothy Gwajima: Wanafunzi waliojirekodi picha za utupu na kusambaza kurekebishwa tabia na kurudi shule
Hakuna sehemu nilipokutukana wala kukudhalilisha Mkuu, hili pia linaonesha upeo wako ni finyu, na unahitaji darasa la kutosha usije kuwa disaster kama mzazi huko mbeleni, na kama ni mzazi tayari Muumba akusaidieAcha unafki we mbuzi, nyie ndio wale mnamchangia mhalifu
Mm naungana nae kwa upande Fulani linapotokea tatizo tusikimbilie upande mmoja tuangalie na uapnde mwingine ,,Hapo watoto wamefuzwa sawa huko wanakoenda si watafanya hayo hayo cha msingi ni kuwaelimisha na wabishi wanakula kwata la kijeshiWaziri Dkt. Gwajima D salam,
Moja ya tukio kubwa wiki hii ni suala la wanafunzi zaidi 100 kukutwa na simu shuleni na baadhi yao kufukuzwa baada ya kupiga picha za utupu na picha hizo kusambaa.
Katika kushughulika na suala hili busara inahitajika zaidi kuliko kukurupuka. Kwanza tuelewe hawa na watoto na wapo katika hatua ya ukuaji, na katika hatua mengi hutokea ikiwemo kufuata mikumbo na kujaribu mambo mbalimbali kutokana na vichocheo vya miili yao pamoja na shauku ya kutaka kujua na kujaribu mambo mbalimbali.
Kwa tulipita na kuonja shule za bweni hata kidogo tunajua mambo za simu shuleni, na siyo kwamba kuna mambo ya maana yanafanyika mengi ni kwaajili ya kupiga picha, kuwasiliana na viboifrendi, kuonesha kwamba na wewe una simu, nk. Pamoja na sheria kali shuleni wanafunzi watapata njia tu ya kufikisha simu shuleni na hii si kwa wote wavulana na wasichana.
Pia soma:
Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza
Inapotokea suala kama hili imefikia mpaka wamejipiga picha na kusambaza, ndio wapewe adhabu lakini iwe ya kuwajenga. Wanatakiwa kupewa elimu kwa udogo wao huo huo waelewe kwanza kufuata utaratibu wa kutopeleka simu shuleni, lakini pia wafundishwe matumizi salama ya simu.
Ifanyike open discussion waelewe mtandaoni kuna mambo mengi, lakini unatakiwa kutumia njia hii, lakini pia waelezwe athari ya kupiga picha hizo na kuziweka mtandaoni, waelewe mtandao hausahau na jinsi inavyoweza kuwaharibia mbeleni, na hili siyo tu kuathiri kwao bali hata kwa wazazi/walezi wao, familia na hata inavyoweza kuwaathiri wenzao.
Lakini pia hili lisiishie tu kwao, hata wazazi wa watoto hawa wapate elimu hiyo pia (huko mbeleni unaweza kutengeza program zinazowakutaisha wazazi na walezi kwenye masuala ya matumizi salama ya digitali).
Wamefukuzwa shule jua tu na huko nyumani moto utaenda kuwaka na mzazi anaweza hata kuua mtoto kwa kipigo. Naomba Waziri Dkt. Gwajima D uende na jambo hili kwa busara sana.
Pia kuna baadhi ya page kwenye mitandao ya kijamii wameweka picha za wanafunzi hawa, umetagiwa kwenye baadhi, picha hizo zinatakiwa kuondolewa, ni kuendeleza udhalilishaji kwa watoto hawa na kwenda kinyume pia na sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi na haki za watoto.
Waziri Gwajima ametoa update hapa >> Waziri Dorothy Gwajima: Wanafunzi waliojirekodi picha za utupu na kusambaza kurekebishwa tabia na kurudi shule
Watoto hao wanajilea wenyewe? Sisi si ndio wazazi na walezi, wajomba, mashangazi kaka na dada, wao ni matokeo ya sisi, hivyo ni kuandalia wapi tunakosea turekebishe ili matokeo yawe mazuriMzizi hamjaona kwani mpk sahvi
Vitoto hivyo vishakata kamba
Haviambiliki havisiki
Ova