Pumba za nganoUkweli ndio huo.
Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.
Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.
Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.
Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!
Mechi ya Simba na Yanga ni zaidi ya soka bwashee!Je hili lina ukweli..?
View attachment 1777903
Kamanda mbwakachoka!We bwege ulishawahi kuwa na akili hapa JF?
WanazinguaaMechi ya Simba na Yanga ni zaidi ya soka bwashee!
Je hili lina ukweli..?
View attachment 1777903
Simba tulishapiga alkasusi lazima Yanga wale kona 😂😂Je hili lina ukweli..?
View attachment 1777903
Kwahyo Yanga alaumiwe kwa kufuata kanuni za soka??Kimsingi Yanga walikosa busara kabisa siku ya leo. Ingekua ni mechi na mtibwa au Namungo wangekubali ila wamefanya hivyo kuikomoa TFF sababu ya madai yao ya hovyo. Lawama zote kwa Yanga.
Nakuunga mkono 100% Mh. Rais kuna maeneo bado haendi sawa.Bashungwa ni moja ya mawaziri mizigo,mama karithi baadhi ya vimeo hiki ni kimojawapo hakika
Wanaoongea na kuandika haya, hawana kumbukumbu. Hebu cheki hii hapa chiniJe hili lina ukweli..?
View attachment 1777903
Why Yanga alaumiwe?Kimsingi Yanga walikosa busara kabisa siku ya leo. Ingekua ni mechi na mtibwa au Namungo wangekubali ila wamefanya hivyo kuikomoa TFF sababu ya madai yao ya hovyo. Lawama zote kwa Yanga.
Yanga kamuogopa Simba hakuna sababu nyingine hapo, ndio nimejua kumbe Yanga huwa hawapendi kucheza na Simba ila basi tu wafanyeje masikini.Kumbe kuna "culture" ya mtiririko wa matukio ya kuvunja kanuni?
Basi, ile methali ya "...za mwizi ni arobaini...", imetimia Leo..
Leo wamekamatika....