Waziri hawezi kuahirisha mechi kwa sababu TFF iko chini ya FIFA na siyo wanasiasa, Bashungwa anaonewa bure!

Waziri hawezi kuahirisha mechi kwa sababu TFF iko chini ya FIFA na siyo wanasiasa, Bashungwa anaonewa bure!

Ndugu popote ulipo! Serikali ipo wether kikazi au kimaisha hata kiutani. Hizo zingine eti Fifa ni maandishi tuuu. Muulize edgar tenga au Karia kuwa waliupataje urais wa TFF! Kama wakikupa jibu la ukweli! njoo nikupe mke wangu , ukae naye siku sita.
Huyo mkeo atakuwa kimeo kweri kweri (In Magu Voice), unamtoa kirahisi hivyo?
 
In theory yes. Lakini kwenye uganga njaa wa bongo TFF inaingiliwa vizuri tu na serikali, tena yenyewe inajipeleka ili ikaingiliwe.
Jana watanzania pale Mkapa,walionesha uungwana wa hali ya pekee sana.Nguvu ya umma ambayo ingeibuka pale,hakuna mamlaka ingecontrol.
 
Machungwa yanatakiwa kuja mbele kutoa ufafanuzi....anakimbia kivuli chake ?
 
Umeandika kama mtoto mdogo alievaa pampasi ambae hajui la kufanya!Serikali ambayo huwa inavunja sheria zake yenyewe ambazo imezitunga yenyewe inashindwa vipi kuvunja sheria pamoja na kanuni za FIFA?
 
Lakini nayetakiwa kulaumiwa ni TFF kaa asilimia 100
TFF waweke barua kama wanavyosema kwa mujibu wa maelekezo kutoka wizarani mechi isogezwe saa 1 maana isiwe mtu kapiga simu tu. TFF na bodi ya league wajitathimini katika hili. Kukaa kwao kimya bila kutoa tamko na kauli yao mechi imehairishwa ni wazi sio Yanga wala Simba wenye makosa, kuna mtu kaleta hili balaa. Lakini athari zake ni kubwa katika soka letu hasara za mtu mmoja mmoja mpaka Azam Tv mambo mengi cha kushangaza tu kuna baadhi ya washabiki kama walikuwa wanatoka uwanjani wanafurahia tu.
 
Ukweli ndio huo.

Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.

Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.

Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.

Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!
Mkuu hapa utakuwa umepitiwa
 
Acha kukurupuka,teknoloji aidanganyi angalia tarehe ya page ya Yanga ikizungumzia kughairishwa kwa match yao na azam,ilikua zaidi ya masaa 24 kama kanuni inavyosema

20210509_011331.jpg
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] daaah Karia Bana Yaaani Aliyetoa taarifa Ndo Huyo Huyo anataka apewe sababu za kuairisha Mechi Kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukweli ndio huo.

Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.

Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.

Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.

Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!
Kama una amini huu upuuzi ulio andika bac nenda ukahamie iyo nchi inayoitwa FIFA ....
Yaan serikali isitoe matakamko yake kisa FIFA. ? FIFA ndio inayo kujengea zahanati na hospitali ? FIFA yenyewe inapokea maagizo toka UN, WHO n.k
 
Yanga kamuogopa Simba hakuna sababu nyingine hapo, ndio nimejua kumbe Yanga huwa hawapendi kucheza na Simba ila basi tu wafanyeje masikini.
Wamuogope kwa lipi mikia fc mapaka yamegoma ujue ,simba amemfunga lini yanga kwenye ligi ,hata huko zenji nani alichezea ,unajitoa ufahamu mbumbumbu fc
 
Kwa hiyo kiongozi wa Serikali alietoa maelekezo TFF kuwa mchezo usogezwe mbele ni nani kama si waziri?. Au taarifa ya TFF hauja iona?
 
Ukweli ndio huo.

Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.

Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.

Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.

Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!
Je kama kuna mambo ya kiusalama si wanahairisha tu
Serikali inaweza amua lolote kama wanaona inafaa kuamua jambo fulani

Ova
 
Hata kama ni wizara iliyoahirisha mechi hiyo, ni SABABU gani iliyotolewa?
 
Back
Top Bottom