Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Huyo mkeo atakuwa kimeo kweri kweri (In Magu Voice), unamtoa kirahisi hivyo?Ndugu popote ulipo! Serikali ipo wether kikazi au kimaisha hata kiutani. Hizo zingine eti Fifa ni maandishi tuuu. Muulize edgar tenga au Karia kuwa waliupataje urais wa TFF! Kama wakikupa jibu la ukweli! njoo nikupe mke wangu , ukae naye siku sita.
Jana watanzania pale Mkapa,walionesha uungwana wa hali ya pekee sana.Nguvu ya umma ambayo ingeibuka pale,hakuna mamlaka ingecontrol.In theory yes. Lakini kwenye uganga njaa wa bongo TFF inaingiliwa vizuri tu na serikali, tena yenyewe inajipeleka ili ikaingiliwe.
Ohoo kumbe ni tango poriWanaoongea na kuandika haya, hawana kumbukumbu. Hebu cheki hii hapa chini
View attachment 1778362
TFF waweke barua kama wanavyosema kwa mujibu wa maelekezo kutoka wizarani mechi isogezwe saa 1 maana isiwe mtu kapiga simu tu. TFF na bodi ya league wajitathimini katika hili. Kukaa kwao kimya bila kutoa tamko na kauli yao mechi imehairishwa ni wazi sio Yanga wala Simba wenye makosa, kuna mtu kaleta hili balaa. Lakini athari zake ni kubwa katika soka letu hasara za mtu mmoja mmoja mpaka Azam Tv mambo mengi cha kushangaza tu kuna baadhi ya washabiki kama walikuwa wanatoka uwanjani wanafurahia tu.Lakini nayetakiwa kulaumiwa ni TFF kaa asilimia 100
Mkuu hapa utakuwa umepitiwaUkweli ndio huo.
Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.
Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.
Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.
Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!
Acha kukurupuka,teknoloji aidanganyi angalia tarehe ya page ya Yanga ikizungumzia kughairishwa kwa match yao na azam,ilikua zaidi ya masaa 24 kama kanuni inavyosemaJe hili lina ukweli..?
View attachment 1777903
Kwanini nimekurupuka. Mimi si nimeuliza.?Acha kukurupuka,teknoloji aidanganyi angalia tarehe ya page ya Yanga ikizungumzia kughairishwa kwa match yao na azam,ilikua zaidi ya masaa 24 kama kanuni inavyosema
View attachment 1778500
Yanga walitoa taarifa match na azam itachezwa saa 2 siku 2 kabla ya matchKwanini nimekurupuka. Mimi si nimeuliza.?
Umeelewa swali langu..!Yanga walitoa taarifa match na azam itachezwa saa 2 siku 2 kabla ya match
Mkuu umenikumbusha mwaka ule Karia (Rais wa TFF) alivyomtukana Tundu Lisu!!!Ataachaje kufuata maelekezo ya serikali wakati Tff yenyewe inaendeshwa kisiasa?!!
Mimi naijua Fifa bwashee!Sisimu unaujua au unaisikia?
Kama una amini huu upuuzi ulio andika bac nenda ukahamie iyo nchi inayoitwa FIFA ....Ukweli ndio huo.
Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.
Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.
Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.
Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!
Wamuogope kwa lipi mikia fc mapaka yamegoma ujue ,simba amemfunga lini yanga kwenye ligi ,hata huko zenji nani alichezea ,unajitoa ufahamu mbumbumbu fcYanga kamuogopa Simba hakuna sababu nyingine hapo, ndio nimejua kumbe Yanga huwa hawapendi kucheza na Simba ila basi tu wafanyeje masikini.
Labda waliogomea mechi walikuwa bado wajinga, na sasa wameelimika. Aksante kwa taarifa hii mahsusi. "The precedence has been already set" kwa hiyo Yanga wajipange vizuri kupangua mabomu yatakayoelekezwa kwao.Je hili lina ukweli..?
View attachment 1777903
Je kama kuna mambo ya kiusalama si wanahairisha tuUkweli ndio huo.