Asee π€£π€£π€£π€£π€£ππΏππΏππΏCha ajabu kabisa, utaona hapo inaundwa tume kuchunguza.
Na majibu ya hiyo yume itakuwa ni;. Mifuko ya mchanga iliwekwa kwa ajili ya ku-stabilize temperature ya mbolea iliyo kwenye mifuko, kutokana na eneo la njombe kuwa na baridi kali, maana mbolea ingeweza kuganda na kupoteza virutubisho muhimu.
Case closed.
Ndio hivyo mkuuAsee π€£π€£π€£π€£π€£ππΏππΏππΏ
Samahani sana mkuu 'Resilience', kwani hii habari uliyoleta hapa ni ya kusikitisha sana.MHE. RAIS UNA SAFARI NDEFU NA HAWA VIONGOZI WAKO WA CCM.....TAFUTA NAMNA YA KUWAJENGEA UZALENDO
Historia yako haiko sahihi.CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi
Usiangalie historia bali angalia ukweli wa jambo. CCM kilitokana na TANU iliyoundwa 1954, chama ambacho kiliingia madarakani 1961 kabla ya kuunganishwa na ASP mwaka 1977 kuunda CCM. Kwa hiyo, misitu ni tofauti lakini nyani ni walewale. Umeelewa sasa?Historia yako haiko sahihi.
Hayo mengine huko chini sijayasoma.
Hata hiyo 'analogy' ya misitu unayoitumia bado ni batili.Usiangalie historia bali angalia ukweli wa jambo. CCM kilitokana na TANU iliyoundwa 1954, chama ambacho kiliingia madarakani 1961 kabla ya kuunganishwa na ASP mwaka 1977 kuunda CCM. Kwa hiyo, misitu ni tofauti lakini nyani ni walewale. Umeelewa sasa?
Sasa jomba tuambie uiondoe ccm uweke chama gani.. usiandike tu kutoka hewani..lete mbadala wake..kama unahisi yupoCCM ni ukoo wa panyaβbabu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na viningβina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.
CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa βmagunia ya misumariβ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.
Itβs a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and thatβs when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCMβs tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.
What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few looters whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except looters themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
Kwa hiyo kwa kuwa hakuna mbadala unataka tuendelee kuteseka mpaka lini?Sasa jomba tuambie uiondoe ccm uweke chama gani.. usiandike tu kutoka hewani..lete mbadala wake..kama unahisi yupo
Alikuwa, SASA ni maneja wa ghafla la mchanga uliowekwa ndani ya mifuko ya mboleπππππππMsolwa alikuwaga kocha wa Twende Pamoja timu ya Halmashauri ya Njombe kunako 1990s
Jomba kama hakuna mbadala means hujajiandaa...na kama haujajiandaa Mambo ya nchi hatuwezi kuyafanyia majaribio..tutajikuta tuko kama Zimbabwe..jinsi walivyoyumba..usicheze na uchumi wa nchiKwa hiyo kwa kuwa hakuna mbadala unataka tuendelee kuteseka mpaka lini?
Sawa mkuuHata hiyo 'analogy' ya misitu unayoitumia bado ni batili.
Huwezi kuilinganisha CCM ya Mwalimu na hii CCM ya "Wenzetu", hiyo ndiyo ilikuwa maana yaku ya "historia".
Wewe unashauri tufanyeje?Jomba kama hakuna mbadala means hujajiandaa...na kama haujajiandaa Mambo ya nchi hatuwezi kuyafanyia majaribio..tutajikuta tuko kama Zimbabwe..jinsi walivyoyumba..usicheze na uchumi wa nchi
Ilula pale i remember this terrible game nlikuwa student wa o levo kipind kile...ila alikuwaa braza wake propesa msolaWajinga dizaini hii wanapaswa kunyongwa napema sana na hela ya kununua kamba wachangishwe wana familia wa huyu mpuuzi.
Ndo wale wale walimkaribisha waziri kufungua mradi wa maji kumbe wamejaza maji kwenye tanki kubwa limefichwa mlimani, baada ya waziri kuondoka raia wamechota maji jioni tu maji yamekata
MaCCMyameigeuza nchi hii kama kihenge cha nafaka na yenyewe yamejigeuza panya wa kutafuna nafaka hiyo. Mungu anayaona.Ilula pale i remember this terrible game nlikuwa student wa o levo kipind kile...ila alikuwaa braza wake propesa msola
Hahaha twende na ccm Ila tuweke viongozi mahili tu...tatizo sio chama jomba..chama Cha ccm kina ilani nzuri sana ambazo zinawa favor wananchi.hakuna..chama kinachofanana sema inategemea uongozi wa juu tu na mifano ipo...Vyama hivi vichanga vinapochukua madarka tu kwanza inabidi vijijenge kabla havijaanza kuwajengea wananchi...shughuli ipo hapo...unless vipate kiongozi wa ukweli mzalendo lakini sio Hawa machampion wa LGBT...HAHAHAHAWewe unashauri tufanyeje?
Kumbe mawazo yako ndio hayo? Nilidhani nabadilishana mawazo na mtu mwenye mawazo chanya kumbe siyo. Kwa heri mkuu.Hahaha twende na ccm Ila tuweke viongozi mahili tu...tatizo sio chama jomba..chama Cha ccm kina ilani nzuri sana ambazo zinawa favor wananchi.hakuna..chama kinachofanana sema inategemea uongozi wa juu tu na mifano ipo...Vyama hivi vichanga vinapochukua madarka tu kwanza inabidi vijijenge kabla havijaanza kuwajengea wananchi...shughuli ipo hapo...unless vipate kiongozi wa ukweli mzalendo lakini sio Hawa machampion wa LGBT...HAHAHAHA