Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jenga hoja mkuu twende vizuri..masuala haya hayahitaji kukurupuka..tusije tukaangukia pua..wakati mwingine hasira hasaraKumbe mawazo yako ndio hayo? Nilidhani nabadilishana mawazo na mtu mwenye mawazo chanya kumbe siyo. Kwa heri mkuu.
Jomba unataka tuongozwe na LGBTKumbe mawazo yako ndio hayo? Nilidhani nabadilishana mawazo na mtu mwenye mawazo chanya kumbe siyo. Kwa heri mkuu.
Hoja yako inajadilika.Hahaha twende na ccm Ila tuweke viongozi mahili tu...tatizo sio chama jomba..chama Cha ccm kina ilani nzuri sana ambazo zinawa favor wananchi.hakuna..chama kinachofanana sema inategemea uongozi wa juu tu na mifano ipo...Vyama hivi vichanga vinapochukua madarka tu kwanza inabidi vijijenge kabla havijaanza kuwajengea wananchi...shughuli ipo hapo...unless vipate kiongozi wa ukweli mzalendo lakini sio Hawa machampion wa LGBT...HAHAHAHA
Hahaha jomba hoja ya LGBT Ni muhimu sana kuliko unavyodhani...kwanza nashukuru umeiona hoja hiyo ipo na inasumbua Mataifa ye Africa..Sasa kama hiyo hoja ndio imo ndani ya chama kimojawapo..unategemea Taifa lako litakuwa na uhai kweli kwa miaka 100 ijayo. Tufikirie na watoto na vizazi vijavyo pia tusiwe wabinafsi wa kunifikiria sisi tu..ni lazima tusafishe hizi impuritiesHoja yako inajadilika.
Ondoa hiyo habari ya LGBT inavuruga tu hoja nzito.
Hiyo CCM na hao viongozi waliko akilini mwako watapatikana vipi?
Viongozi ndan ya ccm wapo wengi tu..na wanapatikanaHoja yako inajadilika.
Ondoa hiyo habari ya LGBT inavuruga tu hoja nzito.
Hiyo CCM na hao viongozi walioko akilini mwako watapatikana vipi?
Ushauri nimeshautoa hapo juuWewe unashauri tufanyeje?
Hahah kwa hiyo tuchague mbadala hewa...??? Tuwe watu wenye akili na kifikiriri..so far kwenye upinzani Sasa kiukweli sioni..bado wanajijenga sana...Wana hoja wachache Ila wengi wanatafuta mkate wao wa kila siku tu jomba..ninavyoona mimiKwa hiyo kwa kuwa hakuna mbadala unataka tuendelee kuteseka mpaka lini?
Mkuu 'Babel', ngoja nirudie tena. Jambo la CCM kama ulivyolijadili hapo ni muhimu sana kwa sasa kuliko hili la LGBT, ambalo kwa nchi kama yetu siyo swala la kutusumbua sana kama tunavyosumbuka na hii CCM na hivi vyama vya siasa vilivyopo.Hahaha jomba hoja ya LGBT Ni muhimu sana kuliko unavyodhani...kwanza nashukuru umeiona hoja hiyo ipo na inasumbua Mataifa ye Africa..Sasa kama hiyo hoja ndio imo ndani ya chama kimojawapo..unategemea Taifa lako litakuwa na uhai kweli kwa miaka 100 ijayo. Tufikirie na watoto na vizazi vijavyo pia tusiwe wabinafsi wa kunifikiria sisi tu..ni lazima tusafishe hizi impurities
Basi sawa, kama hivyo ndivyo unavyoona kirahisi rahisi tu!Viongozi ndan ya ccm wapo wengi tu..na wanapatikana
Mkuu 'Babel', ngoja nirudie tena. Jambo la CCM kama ulivyolijadili hapo ni muhimu sana kwa sasa kuliko hili la LGBT, ambalo kwa nchi kama yetu siyo swala la kutusumbua sana kama tunavyosumbuka na hii CCM na hivi vyama vya siasa vilivyopo.
Nimeamua kujibu hoja yako, kwa sababu niliona uzito uliokuwemo juu ya hoja hiyo; lakini kama wewe mwenyewe unang'ang'ania hiyo LGBT kuwa ndiyo bango muhimu kwako, basi nitakuwa nimekosea kuhusu maandishi yako juu ya vyama vya siasa tulivyonavyo sasa,
Nikuulize Mkuu..hivi ukiambiwa mwanao pekee wa kiume uliyenae ni masalia ya LGBT utachukua hatua gani...yaani kwa maana nyingine kizazi Cha chain yako kimefikia ukomo wake...hili ni la msingi kwanza kuliko hizo propanga nyingine za kisiasa ambazo zinarekebishika..Ila kizazi jomba hakirekebishikiikiwemo CCM yenyewe.
Lete mawazo kwa sabab ndio tunajadili..yangu yalikuwa hayo kwa kuanzia..nishawishi kwa hojaBasi sawa, kama hivyo ndivyo unavyoona kirahisi rahisi tu!
Nilitegemea unao uzito fulani wa kubeba mada na kuijengea uzito stahiki.
Mjadala wa hayo maswala haunipi shida hata kidogo mimi, kama ninavyopata shida juu ya nchi yetu na hivi vyama vyetu vya siasa na viongozi wetu.Nikuulize Mkuu..hivi ukiambiwa mwanao pekee wa kiume uliyenae ni masalia ya LGBT utachukua hatua gani...yaani kwa maana nyingine kizazi Cha chain yako kimefikia ukomo wake...hili ni la msingi kwanza kuliko hizo propanga nyingine za kisiasa ambazo zinarekebishika..Ila kizazi jomba hakirekebishiki
Infact hizi Tume za uchunguzi Huwa ni kufunika Kombe tu!Cha ajabu kabisa, utaona hapo inaundwa tume kuchunguza.
Na majibu ya hiyo yume itakuwa ni;. Mifuko ya mchanga iliwekwa kwa ajili ya ku-stabilize temperature ya mbolea iliyo kwenye mifuko, kutokana na eneo la njombe kuwa na baridi kali, maana mbolea ingeweza kuganda na kupoteza virutubisho muhimu.
Case closed.
Mkuu kalamu umesema sawia...nilitoa mawazo yangu ukiachana na issue ya LGBT ambayo nadhan. Kwa kipindi hiki kifupi mwelekeo wa nchi uweje..natamani kasi iliyofanywa na JPM na makamu wake SSH..na viongozi....kasi inaendelea awamu hii chini ya SSH Ila nadhani somewhere kwa viongozi wa chini Kuna laxity fulani..wame relax zaidi...nadhan Nia ya Rais wetu SSH ni nzuri Ila Sasa Utekelezaji huku chini..mmhh..ndio maana hata ameamua kuwapeleka Arusha kwenye kikao kazi ili kujaribu kuwanoa zaidi. ..bado nasema maendeleo ya nchi tatizo linaweza lisiwe la chama...hivi Kuna chama chenye itikadi na Ilan nzuri kama ccm..hakuna...Mjadala wa hayo maswala haunipi shida hata kidogo mimi, kama ninavyopata shida juu ya nchi yetu na hivi vyama vyetu vya siasa na viongozi wetu.
Lakini ili usidhani kwamba nina maslahi yoyote na hilo kundi la LGBT, au kundi jingine lolote kuwa na muhimu zaidi kuhusu hatma ya nchi yetu, sina kabisa. Hilo ni swala litakaloamriwa tu na taratibu na sheria za nchi yetu na tamaduni zetu.
Kwa hiyo, kama unataka mjadala kati yangu nawe unoge kuhusu nchi yetu, kazia kwenye hayo uliyotaja ndani ya andiko lako hapo juu nililolijibu mwanzo.
We jamaa una data ila tatizo kijani imekukaa kichwani.Msolwa alikuwaga kocha wa Twende Pamoja timu ya Halmashauri ya Njombe kunako 1990s