Waziri Hussein Bashe aagiza Mshindo Msola akamatwe

Uyu waziri Bashe awe mfano wa kuigwa kwa watendaji wenzake wa serikali yaani ikipendeza hata viongozi wako wa chama wafanye jitihada uwe waziri mkuu endelea kuchapa kazi
 
Japo wote tutakufa na hatujui siku izo za mwisho tutakufaje. dawa kubwa ya wahujumu na wasaliti ni kuwaua.
 
Mwambieni aifafanue vizuri kauli yake. .maana wengine tunajichitoea tu mpaka tumevimbiwa.

Mfano wiki iliyopita nilichukua imprest Tshs 50m kwa ajili ya kwenda njombe kuwauliza wakulima wanaifurahia vipi hii mbolea mpya ya mchanga wa kujengea.
Nikitoka hapa nitachukua tena kama 30m niende kiwanda cha mbolea cha minjingu nikawapongeze kwa kuja na teknolojia mbadala ya kutumia mchanga kama mbolea na zaidi ni kuweza kuwauzia wanyalu kwa Tshs 70,000/= kwa kilo 25 ya mchanga
 
Alisema mzee Hashim Rungwe kipindi kile dak45 ITV kwamba hawa jamaa ni wizi sana
 
Hahahahaha hiyo teknolojia imeletwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Club yako Dr Mshindo Msolla
 
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameagiza kukamatwa na kuhojiwa Meneja Masoko wa Kampuni ya mbolea ya Minjingu Dkt. Mshindo Msola
KAma anachakachua mbolea basi hata huo udakitari wake ni questionable, hapa naona yule wa std vii anayeliliwa na universities 11 ana maana zaidi kuliko huyu
 
Yaani yanga bhn,,sa ndo nini kuweka mchanga kwenye mbolea jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…