Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchawi ni ww, amekosea nn wakati karipoti kilichopo??Mleta mada mchawi mchawi unateseka ukiwa wapi?
Kwahiyo Wameonewa?!Eti akiwa uchi........mkubavu wewe.......mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe........kwenye hii kitu diamond alikuwa Hana kosa ....na gig hakuwa uchi usilete utopolo post hapa
Kwani Tanzania Daima lilifungiwa milele?Unafiki mtupu.
Hii serikali ndio maana wengine hatuingu mkono. Unafiki na hadaa vimezidi!
Kijana maswali yako yapeleke TCRA hata jumapili wanafanya kaziEti akiwa uchi........mkubavu wewe.......mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe........kwenye hii kitu diamond alikuwa Hana kosa ....na gig hakuwa uchi usilete utopolo post hapa
Kama hakuwa uchi nini sababu ya kugungiwa wasaf tv?Eti akiwa uchi........mkubavu wewe.......mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe........kwenye hii kitu diamond alikuwa Hana kosa ....na gig hakuwa uchi usilete utopolo post hapa
Diamond ni mkubwa kuliko Chadema kwa vigezo vyote kiuchumi na kijamii!Kijana maswali yako yapeleke TCRA hata jumapili wanafanya kazi
Kuwa uchi ni nini?Kama hakuwa uchi nini sababu ya kugungiwa wasaf tv?
Hii nchi vyombo vya habari vingi sana na wapashaji wa kawaida hawana ethics unasoma kitu kwa mara ya kwanza ambacho premise zake ni potofu kabisa na uhalisia. Ili ni tatizo kubwa sana.Eti akiwa uchi........mkubavu wewe.......mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe........kwenye hii kitu diamond alikuwa Hana kosa ....na gig hakuwa uchi usilete utopolo post hapa
We hukuona mpapa ule kama kitumbuaEti akiwa uchi........mkubavu wewe.......mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe........kwenye hii kitu diamond alikuwa Hana kosa ....na gig hakuwa uchi usilete utopolo post hapa
Uchaguzi umeisha acha kinyongo kisa boss wao ulikuwa unamuona akitumbuiza kwenye majukwa ya CCM.
Sio kila kitu siasa, kosa limetendeka ila adhabu yenyewe sio proportionate.
Halafu kumbe ata huyo Gigy mwenyewe hakuwa mtupu kama awali tulivyoaminishwa ni nguo tu aliyovaa ilikuwa na michoro tata ndio shida yenyewe.
We hukuona mpapa ule kama kitumbua
Haa😀😁😂🤣😃😄😅😅😎😋😊😉😆😁Diamond ni mkubwa kuliko Chadema kwa vigezo vyote kiuchumi na kijamii!
Mchawi Mkuu yupo CHATO muda huu anatia saini ya kuuza nchi Kwa wachinaMleta mada mchawi mchawi unateseka ukiwa wapi?
unataka majibu kweli au unatania ?Kuwa uchi ni nini?
Labda tuanzie hapo!
Aha, kumbe alivaa nguo zilizo fanana na utupu wa mwanamke!!!Eti akiwa uchi........mkubavu wewe.......mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe........kwenye hii kitu diamond alikuwa Hana kosa ....na gig hakuwa uchi usilete utopolo post hapa