Waziri Innocent Bashungwa: Wasafi TV wanajutia kosa, wameomba msamaha na kuonesha nia ya kusimamia yasijirudie

Eti akiwa uchi........mkubavu wewe.......mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe........kwenye hii kitu diamond alikuwa Hana kosa ....na gig hakuwa uchi usilete utopolo post hapa
Kwahiyo Wameonewa?!
 
Wasafi Television Wanakwenda Kuipangia TCRA Cha Kufanya
Acha Tuone, Viongozi Wanakwenda Kunywea Kikombe
Walichowapimia Wasafi Television.

Kama Waliweza Kusema Katiba Siyo Msahafu Tutaibadili
Hili La Wasafi Television Ni Dogo Sana Sana
Ccm Hoyee,
 
Eti akiwa uchi........mkubavu wewe.......mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe........kwenye hii kitu diamond alikuwa Hana kosa ....na gig hakuwa uchi usilete utopolo post hapa
Kijana maswali yako yapeleke TCRA hata jumapili wanafanya kazi
 
Uchaguzi umeisha acha kinyongo kisa boss wao ulikuwa unamuona akitumbuiza kwenye majukwa ya CCM.

Sio kila kitu siasa, kosa limetendeka ila adhabu yenyewe sio proportionate.

Halafu kumbe ata huyo Gigy mwenyewe hakuwa mtupu kama awali tulivyoaminishwa ni nguo tu aliyovaa ilikuwa na michoro tata ndio shida yenyewe.
 
Eti akiwa uchi........mkubavu wewe.......mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe........kwenye hii kitu diamond alikuwa Hana kosa ....na gig hakuwa uchi usilete utopolo post hapa
Hii nchi vyombo vya habari vingi sana na wapashaji wa kawaida hawana ethics unasoma kitu kwa mara ya kwanza ambacho premise zake ni potofu kabisa na uhalisia. Ili ni tatizo kubwa sana.

Asilimia kubwa tulipotoshwa sana nini kilitokea. Ata ile nguo ya Gigy anayolaumiwa inahitaji kumpa onyo tu, sio kumfungia miezi sita.

If anything title na lyrics ya nyimbo ni shida, kuliko nguo iliyokuwa imevaliwa na mwanamuziki.
 
Uchaguzi umeisha acha kinyongo kisa boss wao ulikuwa unamuona akitumbuiza kwenye majukwa ya CCM.

Sio kila kitu siasa, kosa limetendeka ila adhabu yenyewe sio proportionate.

Halafu kumbe ata huyo Gigy mwenyewe hakuwa mtupu kama awali tulivyoaminishwa ni nguo tu aliyovaa ilikuwa na michoro tata ndio shida yenyewe.

Lekemumbu lyangikuru lyatabhanya bhanamhala bhanzengo
 
Attachments

  • 2658954_2658342_JamiiForums-770985563_352x403.jpg
    2658954_2658342_JamiiForums-770985563_352x403.jpg
    16.7 KB · Views: 1
Eti akiwa uchi........mkubavu wewe.......mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe........kwenye hii kitu diamond alikuwa Hana kosa ....na gig hakuwa uchi usilete utopolo post hapa
Aha, kumbe alivaa nguo zilizo fanana na utupu wa mwanamke!!!
 
Back
Top Bottom