johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe humuoni kamishna wa TRA anavyopita madukani kusaka kodi?Kumbe wakurugenzi personally ndo huwa wanakusanya ushuru? Mi nilikuwa sijui hilo, nilikuwa nadhani wao ni wasimamizi!
Ama kweli: If you didn't know, now you know!
Ni mimi mwenyewe bwashee nipo Usseri Rombo kwa sikukuu!Aisee uko sober mkuu au hii account imedukuliwa
Kwa hiyo walikuwa kwenye kusimamia uchaguzi 24/7 all year long? Mkuu acha kufurahisha jamvi basi.Wewe humuoni kamishna wa TRA anavyopita madukani kusaka kodi?
Kuna wakati hata waziri wa fedha hutimba kitaa kukagua.
Kusimamia ni pamoja na kufuatilia wewe mwenyewe hii ni awamu ya 5 bwashee usiishi kwa kukariri!
Eti usseri rombo kwa sikukuu π€πππNi mimi mwenyewe bwashee nipo Usseri Rombo kwa sikukuu!
Hahahaaaa......hahahaaaa..... Nadhani Jaffo amenielewa inatosha!Kwa hiyo walikuwa kwenye kusimamia uchaguzi 24/7 all year long? Mkuu acha kufurahisha jamvi basi
Hahahaaaa....... Karibu bwashee!Eti usseri rombo kwa sikukuu π€πππ
Mdee kaiba nini hapo Ufipa?Sema walikuwa wanasimamia kuiba kura.
Kwa mawazo yako ni kwamba shughuli zinaweza kwenda vizuri kabisa hata mkurugenzi asipokuwepo.Kumbe wakurugenzi personally ndo huwa wanakusanya ushuru? Mi nilikuwa sijui hilo, nilikuwa nadhani wao ni wasimamizi!
Ama kweli: If you didn't know, now you know!
Kama watu/wasomi wetu hamuwezi kujisimamia wenyewe kwa majukumu mliyokabidhiwa, mnasubiri mpaka mkurugenzi awepo kuwasimamia ndipo mambo yaende, basi tuna moral issue kubwa sana πͺπ’π’Kwa mawazo yako ni kwamba shughuli zinaweza kwenda vizuri kabisa hata mkurugenzi asipokuwepo
Kwahiyo Basi kumbe hakuna hata umuhimu wa kuwa na wakurugenzi
Kimsingi wakurugenzi hawana kazi ya maana.Kila idara pale halmashauri,manispaa au jiji ina mtu(watu).Matumizi mabaya ya pesa,hawa wangefutwa tu (kicheo).Kama watu/wasomi wetu hamuwezi kujisimamia wenyewe kwa majukumu mliyokabidhiwa, mnasubiri mpaka mkurugenzi awepo kuwasimamia ndipo mambo yaende, basi tuna moral issue kubwa sana πͺπ’π’